nitakuibukia chemba tuongee vizuri[emoji39] [emoji39] [emoji4] [emoji4] hehehee wanitamanisha weye
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji124]nitakuibukia chemba tuongee vizuri
ExactlyBasi sherehe tumfanyie mama
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Kawaida tu mkuuMkuu kumbe hadi huku unapitaga,nimezoea kukuona kwenye uzi wa likes tu
Kumbe una mtoto?Mm nadoea ya mwanangu sababu tumetofautiana siku 1
Bila shaka mpaka nanii ililowana daah !!! Watu bhana hii kuiga iga ni mmbaya sana hivi usipomwagiwa [emoji2]Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.
Alikasirika sanaa.
Mkubwa kabisa hata akitukuta chumbani anajua tulikuwa tunafanya nnKumbe una mtoto?