Ambao Hatusherekei Siku ya kuzaliwa(Birthday)

Ambao Hatusherekei Siku ya kuzaliwa(Birthday)

Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.

Alikasirika sanaa.
Bila shaka mpaka nanii ililowana daah !!! Watu bhana hii kuiga iga ni mmbaya sana hivi usipomwagiwa [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zinavyokwenda mbio hio siku nitaisahau kabisa

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni pale unapojikuta umezaliwa (mfano) Juma mosi, hiyo kitu inayoitwa BIRTHDAY, inaangukia siku ya Juma tatu.

Huwa nahisi (Pengine) wangeita BIRTHDATE, kwa maana jamii ingekuwa inafurahia/inasherehekea TAREHE ya Kuzaliwa, na sio Siku.

Kidogo wangeweza KUNISHAWISHI...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu toka nimezaliwa sijawahi kuambiwa hata na mama yangu happy birthday,hizo siku zijapitaga wala sikumbukii nahisi labda mchuchu nitakae kuja kumwoa ndio awe ananikumbusha ila hata sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ya ma brother men na masister du!! Yani nisiende job et nasherehekea birthday " hayo mambo ya bongo move na bongo flaver tu wasiokua na shughul zinazo waweka busy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akianza post kwa kukana watu wote wanakana,,,

Haya bana hata mi huwa sisherehekei
 
Back
Top Bottom