Ugali nilikuwa naweza kumwekea, ila wali no.
Sisi ilikuwa hakuna kumchukulia mtu labda awe na ruhusa na mnaenda kwa mwalimu wa zamu kwamba huyu atanichukulia chakula.
Hahaha unaona sasa mambo yako? Una upendo nusu...sisi wenyewe walikuwa wanabana, kama ametoroka atakula hukohuko...kwanza sisi hakuna mtu alikuwa anaenda mjini halafu atake kuekewa chakula cha shule, siku ukienda mjini ndio siku ya kuchange diet mambo ya kuja kuchafua tena utumbo inahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh ubalozini tena? Walikuwa wanatoa bure? Sisi tulikuwa tunaenda seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu ana ndugu yake seminary anabeba wenzie kama tisa hivi, anapita anawatangazia jamani anayetaka kwenda seminary...mnaunga telaJumatano ilikuwa ni siku ya soko Kijiji cha jirani, kwa hiyo kuna watu wanafata karanga na Matoborwa (maperege), hapo wanaoenda mnawatuma na nyie mnawawekea msosi. Jumapili ndo ilikuwa watu wanaenda ubalozini kubadili diet.
Matoborwa(maparage) aka michembe.Jumatano ilikuwa ni siku ya soko Kijiji cha jirani, kwa hiyo kuna watu wanafata karanga na Matoborwa (maperege), hapo wanaoenda mnawatuma na nyie mnawawekea msosi. Jumapili ndo ilikuwa watu wanaenda ubalozini kubadili diet.
Eeh ubalozini tena? Walikuwa wanatoa bure? Sisi tulikuwa tunaenda seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu ana ndugu yake seminary anabeba wenzie kama tisa hivi, anapita anawatangazia jamani anayetaka kwenda seminary...mnaunga tela
Sent using Jamii Forums mobile app
Matoborwa(maparage) aka michembe.
๐๐yananishindaga..yananichefua ile smell yake๐โบYes, hayo yalikuwa muhimu kwenye chai.
๐๐yananishindaga..yananichefua ile smell yake๐โบ
Tena ukute yamalala ndo yamekuwa kiporo cha asubuh yananogajei!!! huna haja ya kula mchana,๐๐yananishindaga..yananichefua ile smell yake๐โบ
Hahaha, unatafuna makavu, kuna yale ambayo yanakaushwa kabla ya kupikwa mimi ndiyo nayaelewa.
Mie nikiendaga mwanza huwa nikiona wameyapoka hayo najikataa naenda tafta samaki..sipendo kbs kula vby aise
Mimi yale nimeyajulia shule, tulikuwa mkiwa mnaenda prep mnaenda nayo mifukoni mnatafuna huku kitabu kinaendelea.