Ambao hatushibagi ugali wa hotelini tujuane

Hahaha unaona sasa mambo yako? Una upendo nusu...sisi wenyewe walikuwa wanabana, kama ametoroka atakula hukohuko...kwanza sisi hakuna mtu alikuwa anaenda mjini halafu atake kuekewa chakula cha shule, siku ukienda mjini ndio siku ya kuchange diet mambo ya kuja kuchafua tena utumbo inahusu
Ugali nilikuwa naweza kumwekea, ila wali no.

Sisi ilikuwa hakuna kumchukulia mtu labda awe na ruhusa na mnaenda kwa mwalimu wa zamu kwamba huyu atanichukulia chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha unaona sasa mambo yako? Una upendo nusu...sisi wenyewe walikuwa wanabana, kama ametoroka atakula hukohuko...kwanza sisi hakuna mtu alikuwa anaenda mjini halafu atake kuekewa chakula cha shule, siku ukienda mjini ndio siku ya kuchange diet mambo ya kuja kuchafua tena utumbo inahusu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jumatano ilikuwa ni siku ya soko Kijiji cha jirani, kwa hiyo kuna watu wanafata karanga na Matoborwa (maperege), hapo wanaoenda mnawatuma na nyie mnawawekea msosi. Jumapili ndo ilikuwa watu wanaenda ubalozini kubadili diet.
 
Eeh ubalozini tena? Walikuwa wanatoa bure? Sisi tulikuwa tunaenda seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu ana ndugu yake seminary anabeba wenzie kama tisa hivi, anapita anawatangazia jamani anayetaka kwenda seminary...mnaunga tela

Matoborwa(maparage) aka michembe.
 
Eeh ubalozini tena? Walikuwa wanatoa bure? Sisi tulikuwa tunaenda seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu ana ndugu yake seminary anabeba wenzie kama tisa hivi, anapita anawatangazia jamani anayetaka kwenda seminary...mnaunga tela

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubalozini ni kwa ndugu aliyeko mji mnaoenda.
 
Mimi yale nimeyajulia shule, tulikuwa mkiwa mnaenda prep mnaenda nayo mifukoni mnatafuna huku kitabu kinaendelea.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..Iringa ilikua tunaweka mahindi ya kuchomwa au kukaanga (makavu)kwa begi la daftr
 
Back
Top Bottom