Ambao hawajawahi kumuona Dennis Bergkamp akicheza muangalieni Max Nzengeli

Nashukuru kwa niaba yenu angalau mmepata fundi mmoja.
mafundi yanga wapo wengi sana ukianza na fundi wa golini diarra, pale kati kuna fundi kama fundi daktari Aucho. Naomba niishie hapa ila ukitaka niendelee kuna fundi la pulga wa bongo bwana Azizi KI. Ntaendelea
 
Diarra na aucho huyo mkata pumzi bin homa ya vipindi mtoe.Hana tofauti na fundi simu.
 
Hayo ni matusi, ni kweli max nzengeli ni mchezaji mzuri, hilo sipingi, ni kati ya vipaji vichache vya kipekee kuja hapa bongo.

Ila dennis bergkamp ni mwamba mwingine mnoo, huwezi mfananisha na max ni matusi pia.
 
mafundi yanga wapo wengi sana ukianza na fundi wa golini diarra, pale kati kuna fundi kama fundi daktari Aucho. Naomba niishie hapa ila ukitaka niendelee kuna fundi la pulga wa bongo bwana Azizi KI. Ntaendelea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aziz messi ki
 
Anampunguzia heshima fundi wetu Max Nzengeli kwa kumfananisha na wajinga wajinga.
 
Yes that turn was similar to Bergkamp turn against Newcastle

Phenomenal
 
Back
Top Bottom