NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
DAH BUBU KASHAANUNUA SIMU, KWA STAILI MOJA AMBAZO CHAMA AMEFANYA MIA SITA TOFAUTI TOFAUTI.ni utani wa jadi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha.Mbingu na ardhi.Ushuzi na marashi
Max malipo au pepsi max.max kama max
ni zaidi ya vyote, max ni moja tu max nzegeli, fundi wa kabumbu.Max malipo au pepsi max.
Nashukuru kwa niaba yenu angalau mmepata fundi mmoja.ni zaidi ya vyote, max ni moja tu max nzegeli, fundi wa kabumbu.
Nashukuru kwa niaba yenu angalau mmepata fundi mmoja.
mafundi yanga wapo wengi sana ukianza na fundi wa golini diarra, pale kati kuna fundi kama fundi daktari Aucho. Naomba niishie hapa ila ukitaka niendelee kuna fundi la pulga wa bongo bwana Azizi KI. NtaendeleaNashukuru kwa niaba yenu angalau mmepata fundi mmoja.
Diarra na aucho huyo mkata pumzi bin homa ya vipindi mtoe.Hana tofauti na fundi simu.mafundi yanga wapo wengi sana ukianza na fundi wa golini diarra, pale kati kuna fundi kama fundi daktari Aucho. Naomba niishie hapa ila ukitaka niendelee kuna fundi la pulga wa bongo bwana Azizi KI. Ntaendelea
mkuu tutake radhi tafadhali nitakuitia fundi Jeshi yao yaoDiarra na aucho huyo mkata pumzi bin homa ya vipindi mtoe.Hana tofauti na fundi simu.
Sio pumzi kisoda lakini.MENGINEYO MPO VIZURI.mkuu tutake radhi tafadhali nitakuitia fundi Jeshi yao yao
sisi ndio yanga, timu kubwa yenye uwezo mkubwaSio pumzi kisoda lakini.MENGINEYO MPO VIZURI.
Tunataka kombe mkuu. Group stage ni lengo la kwanza.[emoji1787][emoji1787] wanakwambia wanaingia group stage.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aziz messi kimafundi yanga wapo wengi sana ukianza na fundi wa golini diarra, pale kati kuna fundi kama fundi daktari Aucho. Naomba niishie hapa ila ukitaka niendelee kuna fundi la pulga wa bongo bwana Azizi KI. Ntaendelea