Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A sister's revenge (Chinese)
Waaris (Indian)
Village boy (Indian)
Wild flower (wafilipino)
Hizi zote zinaoneshwa channel ya St Swahili (kasoro Village boy)
Wewe unaipenda ipi? Nani humpendi? Nani unampenda?
Note:
Ninazungumzia zile ambazo wamechomeka sauti za kiswahili, yaani unaona mchina anazungumza kiswahili sio zile za kina Rufufu
Uzi tayari