Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
[emoji23][emoji23]Nampenda sana huyu jamaa anaelewa kazi yakeKuna ambayo DJ Afroo ametafsiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Nampenda sana huyu jamaa anaelewa kazi yakeKuna ambayo DJ Afroo ametafsiri?
Kaka angu upooo mbona umekuwa adimu hiviWanakuja
Hapa kila mtu atajidai haangalii.
Mimi nafuatilia Waaris.
Haha hapa kwetu ndivyo tulivyo maa. Waaris bonge la tamthiliya ila nachukia mtoto hakui tangu alipotimiza miaka 7 haongezeki
Mmegoma kuingia JF.. Kwann sasa Mshindwane mapenzi yako kwake yameisha Au?Hahaha tumegoma na nn kaka mjeshi sio wa kuweka ndani yule
Kama unasikilizaga taarabu sultan ilikushindaje Acha unafiki.Kama nilishindwa kuangalia sultan sidhani Kama nitaweza kufuatilia tamthilia iliyotafsiriwa
Nipe script yakeHapa kila mtu atajidai haangalii.
Mimi nafuatilia Waaris.
Ungegoogle mkuu.Nipe script yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anayo imani ya kuyakabili