Ambao huwa tunaangalia tamthiliya/movies zilizotafsiriwa tukutane hapa

Ambao huwa tunaangalia tamthiliya/movies zilizotafsiriwa tukutane hapa

Siangaliagi Tv kabisa kama nna ugomvi nayo sijui ni vile wananipangia wao cha kuangalia.

Ila Movie za kutafsiriwa niliwahi kuangalia mwaka mmoja hivi alibamba Dj mark " Kitu hichi hapo Mzee , sasa mambo ni cheche aah cheche[emoji23][emoji23][emoji23]" jamaa alikua ananfurahisha sijui yupo?
 
Nampenda dj ommy D

121.
Umenikumbusha... Game of Thrones, Lord of Rings, Knight Rider na The Outpost, huyu jamaa yuko vizuri mno. Utamsikia ndani ya nyumba huyu ni Ommy D hapana shaka tunapiga bao wewe tu.
 
Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A sister's revenge (Chinese)
Waaris (Indian)
Village boy (Indian)
Wild flower (wafilipino)
Hizi zote zinaoneshwa channel ya St Swahili (kasoro Village boy)
Wewe unaipenda ipi? Nani humpendi? Nani unampenda?

Note:
Ninazungumzia zile ambazo wamechomeka sauti za kiswahili, yaani unaona mchina anazungumza kiswahili sio zile za kina Rufufu

Uzi tayari
Yule mzwahili huwa anasikulia, hatafsiri. Naongelea yule jamaa muvi nyingi zito vibanda umiza.
 
Yule mzwahili huwa anasikulia, hatafsiri. Naongelea yule jamaa muvi nyingi zito vibanda umiza.
Mimi naongelea zilizotafsiriwa sasa, zile zimeingiziwa sauti za kiswahili. Yaani mtu ameongea kwa lugha nyingine ila anakuwa kama ameongea kiswahili....Yaani badala kuweka subtitles wanaweka sauti.
Nashangaa watu wanabeza hapa wakati asilimia kubwa ya tamthiliya za kifilipino zimechezwa kwa lugha yao na baadae zikatafsiriwa kwenda kiingereza. Zilizotafsiriwa kiingereza au kuwekewa subtitles za kiingereza fresh ila zikiwa kwa kiswahili nongwa.. .wabongo sijui tutaacha lini ulimbukeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tu mtu anataka aonekane yuko deep ktk kizungu kumbe hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom