Ambao huwa tunaangalia tamthiliya/movies zilizotafsiriwa tukutane hapa

Ambao huwa tunaangalia tamthiliya/movies zilizotafsiriwa tukutane hapa

Huyu..huyuu ni waya wa umeme..huyu shashaa ni waya..ni waya wa umeme btotherrr..na ukumbuke mpenz mtazamaj huyu ni hatar sana tena zaidddd..Cheeeku maneno..ololoyayeee

Dj Afro my best movie interpreter
 
Leo Amba amewekwa kitanzini sijui hata anachomokaje
 
Wajuba mi natafuta movies za kihindi za Amitabh Bachchan zenye English subtitles. Ntazipata wapi mazee?
 
Huyu..huyuu ni waya wa umeme..huyu shashaa ni waya..ni waya wa umeme btotherrr..na ukumbuke mpenz mtazamaj huyu ni hatar sana tena zaidddd..Cheeeku maneno..ololoyayeee

Dj Afro my best movie interpreter
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A sister's revenge (Chinese)
Waaris (Indian)
Village boy (Indian)
Wild flower (wafilipino)
Hizi zote zinaoneshwa channel ya St Swahili (kasoro Village boy)
Wewe unaipenda ipi? Nani humpendi? Nani unampenda?

Note:
Ninazungumzia zile ambazo wamechomeka sauti za kiswahili, yaani unaona mchina anazungumza kiswahili sio zile za kina Rufufu

Uzi tayari
Dah! Nimetokea kuipenda waaris! Wakina Manu au prity, na raj rohan ni balaaa mziki wao usipime
 
Unakuta ati DJ katafisiri kiingereza to kiswahili dah full broken.unajiuliza huyu ana maana gani kiukweli siziangali, ukiona nyumba ina star times jua kuna Dada wa kazi basi wanapenda sana.

dstv kuna Chanel 194 televista ina series nzuri tu.

Labda mm napenda drama za kikorea maana zinakuwa na sub zake kwa kiingereza nasoma on screen, nzuri sana Maneno mengi ya kikorea kwa sasa najua
 
Hapana ninazoangalia Mimi sio za hawa. Zenyewe wahusika wenyewe wanakuwa kama wanaongea kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hizo nikiziangalia naona Kama najivua cheo kimoja katika vyeo vi3 nilivyonavyo vya kunitambulisha kama Mwanaume mgumu ugumuni

Sent using Gun Trigger
 
Back
Top Bottom