Ahahahahaaa... Mi simo..Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A sister's revenge (Chinese)
Waaris (Indian)
Village boy (Indian)
Wild flower (wafilipino)
Hizi zote zinaoneshwa channel ya St Swahili (kasoro Village boy)
Wewe unaipenda ipi? Nani humpendi? Nani unampenda?
Uzi tayari
Utaje unachonikaribisha shemela.. nisije nkajigawia KITU kumbe hujanikaribisha hicho banaaKaribu shemela
Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A sister's revenge (Chinese)
Waaris (Indian)
Village boy (Indian)
Wild flower (wafilipino)
Hizi zote zinaoneshwa channel ya St Swahili (kasoro Village boy)
Wewe unaipenda ipi? Nani humpendi? Nani unampenda?
Uzi tayari
Hizi hazijatafsiriwa na mtu mmoja ila wamefanya substitution ya sauti za kiswahili
Kuna siku nilikuwa mahali kwa jamaa naangalia hizo movie tafsiri aliyokuwa anaitoa ilikuwa haiendani na vitendoKwa nini mkuu