princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Me na wewe same same,naeza kuingia huko kwa group nikawa bubu. Hao wa zamani nao kila maisha yametutenganisha mnoo wengine sijui hata walipo. Yaani kupata rafiki mkashibana ni mtihani kweli kweli sijui hata nifanyeje [emoji26]Ninajichanganya nao wapi yani nadhani pa kuanzia ndio sina
Kuna mdada huwa napenda ile life style, weekends hupost status wapo kwenye coaster wanaenda kutembelea yatima yani wanavibe hao, usiku wapo pengine wanamwagilia moyo....napenda kwakweli ila mi sinaMe na wewe same same,naeza kuingia huko kwa group nikawa bubu. Hao wa zamani nao kila maisha yametutenganisha mnoo wengine sijui hata walipo. Yaani kupata rafiki mkashibana ni mtihani kweli kweli sijui hata nifanyeje [emoji26]
Yani inakua ule urafiki wa vitu vya maana sio kuvaa vijora sare kwenda kupiga umbea kwa mtu 😂😂😂Mi naona kama ndio yatakayonikuta mbeleni.
Napenda urafiki ila urafiki siuwezi.
Huwa nakuaga rafiki wa faida sana ila sasa unakuta mwenzangu nikimchunguza naona kama shobo zimezidi upande wangu.
Na hakuna kitu sikipendi kama kuwa faida anapata yeye/wao mimi faida sipati
Kingine watu wakikujua jua sana nalo ni tatizo! Heshima inaoungua sana
Kinachobaki unakua tu na wale watu ambao unafahamiana nao ila siku likikukuta jambo kwakweli hamna wa kukukimbilia.
Najiona ntakavyokua kama FINCH
Wapitwende nikupeleke
Nimeshajua tafuta hela mambo mengine wewe binafsi ndio unapaswa kuanzishaKuna mdada huwa napenda ile life style, weekends hupost status wapo kwenye coaster wanaenda kutembelea yatima yani wanavibe hao, usiku wapo pengine wanamwagilia moyo....napenda kwakweli ila mi sina
waliko marafiki wa faidaWapi
AmenNimeshajua tafuta hela mambo mengine wewe binafsi ndio unapaswa kuanzisha
NdioTuanzie kwako, je wewe ni rafiki wa faida?
Mungu akusamehe my dear nami nshakusamehe piaKosa lako linaanzia hapo unaposema unataka "marafiki wa faida"
Au labda mimi sikuelewi unachomaanisha, nilivokuelewa ni kuwa unataka kuwa na marafiki, ili upate faida hasa hasa ya kipesa, kama ni hivyo, iyo ni moja ya sababu ndo maana hupati marafiki. Sijui baadhi ya watu mkoje.
Ondoa hiyo mentality ovu ya kishetani, ya kujenga urafiki na mtu ili ufaidike na kitu fulani toka kwake, jenga urafiki na mtu kwa sababu mko compatible na mna enjoy each other's time.
Ndo maana baadhi ya matajiri hawataki urafiki na maskini, sababu wanawakwepa nyie Mnaotafuta marafiki wa faida, maana anajua umejenga naye mazoea sababu ya pesa zake, Na si kwasababu umependa uwepo wake Evelyn Salt
Tunawapata kwa kutumia pesa tuu hakuna kingine!Good morning jf....
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???