Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani[emoji125]
Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
Hahaha pilau hoyeeeNo 1 hapa. Sina interest kbisa na hii kitu. Bora hta nkashabikie porn.
Kwa hiyo saivi hushabikii timu yeyote ile?Nilikuwa napenda mpira ila baada ya kamati ya maandalizi kuongozwa na RC na wabunge washangiliaji kuongozwa na mchapa bakora basi nikajua stars ni kichekesho kitupu
Nashabikia uganda cranesKwa hiyo saivi hushabikii timu yeyote ile?
Mimi naona fresh mda mwingine huwa nashukuru Mungu kabisa.Pole sana mkuu....
baki hivyo hivyo...ni kama kuzaliwa na kasoro jikubali ulivyo....
tuachie wanasoka na soka letu
Hahaha dah! Umenichekesha Mkuu.Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani[emoji125]
Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
Kama mimi tu.Kiukweli mi mwenyewe sijawah kuvutiwa na mpira,Bora nisikilize music au nitazame movie
Sasa wenyewe wanasema makelele ndo mazuriMimi kinachonishinda kwenye ushabiki wa mpira ni makelele kingine huwa na feel bored tu kuangali watu wakicheza . yani huwa naona ni bora nikalale tu .
Akili hunaWasioshabikia mpira wengi wao huwa ni mashoga
Wewe kweli mkwepa kodiNashabikia uganda cranes
KaribuNa sie washabiki wa kwenye 6 x 6 ambao hatuna mpango na mpira tuna comment hapa?