Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kwa wale wenzangu na mimi tusioshabikia mpira wa miguu tujuane na tupeane sababu za kutokua shabiki wa soka maana naona kwa wanaume tupo wachache sana. Binafsi sielewi hata raha ya ushabiki na kuangalia mpira ipo wapi, na hua sina tabia za kuiga tabia hata kama ina ushawishi kiasi gani, nakumbuka kipindi nipo secondary nilikua naona bora nikalale kuliko kuangalia mpira japo kua ilikua mnatazama na totoz.
Je wewe kwa nini hushabikii soka au hata michezo mingine? KARIBUNI
•Ila stars kupigwa inaniuma.
Je wewe kwa nini hushabikii soka au hata michezo mingine? KARIBUNI
•Ila stars kupigwa inaniuma.