Ambao si mashabiki wa soka tujuane hapa

Ambao si mashabiki wa soka tujuane hapa

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kwa wale wenzangu na mimi tusioshabikia mpira wa miguu tujuane na tupeane sababu za kutokua shabiki wa soka maana naona kwa wanaume tupo wachache sana. Binafsi sielewi hata raha ya ushabiki na kuangalia mpira ipo wapi, na hua sina tabia za kuiga tabia hata kama ina ushawishi kiasi gani, nakumbuka kipindi nipo secondary nilikua naona bora nikalale kuliko kuangalia mpira japo kua ilikua mnatazama na totoz.

Je wewe kwa nini hushabikii soka au hata michezo mingine? KARIBUNI

•Ila stars kupigwa inaniuma.
 
Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani🏃

Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
 
Nilikuwa napenda mpira ila baada ya kamati ya maandalizi kuongozwa na RC na wabunge washangiliaji kuongozwa na mchapa bakora basi nikajua stars ni kichekesho kitupu
Kwa hiyo saivi hushabikii timu yeyote ile?
 
Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani[emoji125]

Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
Hahaha dah! Umenichekesha Mkuu.
 
Mimi kinachonishinda kwenye ushabiki wa mpira ni makelele kingine huwa na feel bored tu kuangali watu wakicheza . yani huwa naona ni bora nikalale tu .
Sasa wenyewe wanasema makelele ndo mazuri
 
Back
Top Bottom