Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

Kwanza binafsi sipendi kabsa kwenda sehemu zenye mikusanyiko km hio wala sijui 9 December sijui sherehe za uhuru kwa sababu lolote laweza kuotekea, inapokubidi sana kwenda nenda na mwenzako alaf msivae kihuni jins za kuchanika chanika achana nazo piga tai
Mimi ilinitokea kama yako japo tofaut kidogo, kuna rafiki yangu alikua anasoma bweni shule tofaut siku moja akawa kamtapeli sim kiubabe mwanafunz mwenzake akanipogia cm kua anaomba niende akanikabidhi cm kwan walimu wangemkamata angekua matatizon mimi bila kujua ni nini kilikua kina endelea nikapanda gar mpka wilaya anakosomea nikaakutana nae akanipa cm akaniambia atakuja kuichukua wakat wa likizo me nikaondoka , kumbe yule rafiki ake aliekua amedhulumiwa sim akawa kashaelewa mchezo akaenda mpka stand akapanga gari ili anifatilie na mimi nikasimamisha gari alilopanda kisha nikapanda nikiwa ndani akananza kuni kwda kua nimemuibia cm abiria wote wakaanza kusapoti dereva kuona aepushe kesi na mabaya ambayo yangenipata kutoka kwa wananchi akageuza gari mpka kituo cha police na enzi cha wilaya ambapo hapo marehem baba yangu alikua ni askari hapo, ilikua ni mtihan sana kwangu lakini yule jamaa akasema ye haendi police km ameshapata cm hakuna haja
 
Aisee kesi zinakujaga tuu
 
Huyo mzee nae tapeli na mwizi tuu,usikute alishapanga hiyo siku atengeneze pesa kwa mtindo huo maana sehemu za mikusanyiko ya watu wengi pana mengi ndio kama hayo sasa,.kaona akodi hilux ajiweke level flan kumbe ni janja janja...hata hivyo pole tunajifunza kutokana na makosa.
 
Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada .....

Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi...

Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi nikatafta sehemu ya kukaa nikakaa nilikua mwenyewe tu

Basi tumekaa pale mida ya saa nne mwili wa magu ukawa umewasili vilio vikatawala hadi wengine kuzimia.utaratibu yakuaga ukaanza viongozi wakawa wanaaga walipomaliza mc akatangaza kwamba wananchi hawataweza kuaga kama walivyo aga watu wa dar es laam akasema mwili utazungushwa mara tano pale uwanjani

Basi jukwaa nililo kuwepo watu wakapaniki sana na wengine waka anza kushuka basi na nikaanza kushuka kufika kwenye geti la jukwa nikakuta kuna vurugu sana watu wanataka kushuka

Na mim nikajipenyeza hadi katkat nikawa nimesimama nyuma ya mzee wa makamo pia ni shomeshombe wa kiarabu

Kama dakika mbili hivi nikaona yule mzee kageuka na kujishika mifukoni palepale akasema kijana naomba pesa zangu na cm
Sijakaa sawa mzee kanikwida anasema umeniibia kijana naomba pesa zangu. Nikamwambia mzee mim sijaiba hata unisaki mzee anasema utawataja wenzio tuu bac muda ule geti likafunguliwa watu wakatawanyika mzee kanipeleka kwa mwnajeshi

Mjeda akaskiliza akasema nenda kwa huyo.mzee akanivuta hadi kwa polisi akamwambia huyu ni mwizi ameniibia palepale nikaambiw kaa chini askari wanazidi kuongezeka pale mmoja akanizaba kibao cha shavu

Wakamuuliza mzee una usafiri! Mzee akasema ee nina gari basi nikapigwa pingu nishikwa mkubeto hadi nje ya uwanja yule mzee alikua na gari aina ya hilux nyeupe nikaingizwa ndani ya gari hadi central police Mwanza nikawekwa ndani

kufupisha story yule mzee tumemlipa milioni 3 na polisi laki1 hapa ninapoongea ndio nimetoka kama wiki moja sasa.

Lengo la uzi huu na wew naomba usimulie kitu ambacho huta sahau asanteni bandugu......
Aise so sad mkuu
 
Ulichokosea ww ni kujipenyeza wakati mlikuwa hamtakiwi mjipenyeze
 
Pole sana mkuu!
Pole tena make zile hela niliokota mm pale uwanjani na ile simu ya shombe ilitua mikononi mwa mchizi mmoja hivi sema kuna mjinga alikuwa kaikanyaga ikapasuka kioo kwenye zile purukushani.

Ila punguza kuzubaa unapokuwa kwenye mikusanyiko ya watu.
 
Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada.

Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi.

Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi nikatafta sehemu ya kukaa nikakaa nilikua mwenyewe tu.

Basi tumekaa pale mida ya saa nne mwili wa magu ukawa umewasili vilio vikatawala hadi wengine kuzimia.utaratibu yakuaga ukaanza viongozi wakawa wanaaga walipomaliza mc akatangaza kwamba wananchi hawataweza kuaga kama walivyo aga watu wa dar es laam akasema mwili utazungushwa mara tano pale uwanjani.

Basi jukwaa nililo kuwepo watu wakapaniki sana na wengine waka anza kushuka basi na nikaanza kushuka kufika kwenye geti la jukwa nikakuta kuna vurugu sana watu wanataka kushuka.

Na mim nikajipenyeza hadi katkat nikawa nimesimama nyuma ya mzee wa makamo pia ni shomeshombe wa kiarabu.

Kama dakika mbili hivi nikaona yule mzee kageuka na kujishika mifukoni palepale akasema kijana naomba pesa zangu na simu
Sijakaa sawa mzee kanikwida anasema umeniibia kijana naomba pesa zangu. Nikamwambia mzee mim sijaiba hata unisaki mzee anasema utawataja wenzio tuu bac muda ule geti likafunguliwa watu wakatawanyika mzee kanipeleka kwa mwnajeshi.

Mjeda akaskiliza akasema nenda kwa huyo.mzee akanivuta hadi kwa polisi akamwambia huyu ni mwizi ameniibia palepale nikaambiw kaa chini askari wanazidi kuongezeka pale mmoja akanizaba kibao cha shavu.

Wakamuuliza mzee una usafiri! Mzee akasema ee nina gari basi nikapigwa pingu nishikwa mkubeto hadi nje ya uwanja yule mzee alikua na gari aina ya hilux nyeupe nikaingizwa ndani ya gari hadi central police Mwanza nikawekwa ndani.

kufupisha story yule mzee tumemlipa milioni 3 na polisi laki1 hapa ninapoongea ndio nimetoka kama wiki moja sasa.

Lengo la uzi huu na wewe naomba usimulie kitu ambacho huta sahau asanteni bandugu.
Misiba ya viongozi wa kisiasa uwe na kiasi mkuu kwani ukiangalia kwenye tv kuna ugumu gani maana huku dar watu kama 45 walikufa kisa kukanyagana
 
Back
Top Bottom