Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

Mimi ilinitokea kama yako japo tofaut kidogo, kuna rafiki yangu alikua anasoma bweni shule tofaut siku moja akawa kamtapeli sim kiubabe mwanafunz mwenzake akanipogia cm kua anaomba niende akanikabidhi cm kwan walimu wangemkamata angekua matatizon mimi bila kujua ni nini kilikua kina endelea nikapanda gar mpka wilaya anakosomea nikaakutana nae akanipa cm akaniambia atakuja kuichukua wakat wa likizo me nikaondoka , kumbe yule rafiki ake aliekua amedhulumiwa sim akawa kashaelewa mchezo akaenda mpka stand akapanga gari ili anifatilie na mimi nikasimamisha gari alilopanda kisha nikapanda nikiwa ndani akananza kuni kwda kua nimemuibia cm abiria wote wakaanza kusapoti dereva kuona aepushe kesi na mabaya ambayo yangenipata kutoka kwa wananchi akageuza gari mpka kituo cha police na enzi cha wilaya ambapo hapo marehem baba yangu alikua ni askari hapo, ilikua ni mtihan sana kwangu lakini yule jamaa akasema ye haendi police km ameshapata cm hakuna haja
 
Aisee kesi zinakujaga tuu
 
Huyo mzee nae tapeli na mwizi tuu,usikute alishapanga hiyo siku atengeneze pesa kwa mtindo huo maana sehemu za mikusanyiko ya watu wengi pana mengi ndio kama hayo sasa,.kaona akodi hilux ajiweke level flan kumbe ni janja janja...hata hivyo pole tunajifunza kutokana na makosa.
 
Aise so sad mkuu
 
Ulichokosea ww ni kujipenyeza wakati mlikuwa hamtakiwi mjipenyeze
 
Pole sana mkuu!
Pole tena make zile hela niliokota mm pale uwanjani na ile simu ya shombe ilitua mikononi mwa mchizi mmoja hivi sema kuna mjinga alikuwa kaikanyaga ikapasuka kioo kwenye zile purukushani.

Ila punguza kuzubaa unapokuwa kwenye mikusanyiko ya watu.
 
Misiba ya viongozi wa kisiasa uwe na kiasi mkuu kwani ukiangalia kwenye tv kuna ugumu gani maana huku dar watu kama 45 walikufa kisa kukanyagana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…