Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu;
1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako.
2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro hapa inategemea na show yako.
Mwingine dakika 2, 3, 4 na wengine kwasababu za kimaumbile na kihisia hufika hata dk 15.
Kama utaweza kupiga magoli mawili non stop basi una possibility kubwa ya kuwafikisha Kilimanjaro zaidi ya 80% ya wanawake.
Ili ufunge magoli mawili double fanya hivi;
Cheza mpira taratibu ukikaribia kufunga ichomoe (Usiichomoe yote) bali iweke karibu na mlango then tulia kama sekunde 30-45 hivi bila kupiga push pump, na kama yeye anakatika mtulize asikatike. Utafunga goli ukiwa una nguvu za kuendelea kama zote, ukimaliza kufunga ingia tena ndani cheza sasa, hapa utatumia dk 3-5 utafunga goli jingine. Hapo itakuwa poa sana.
Usifanye kosa la kufunga goli la kwanza bila kumfikisha mwenzako Kilimanjaro. Unapopumzika na kitafuta la pili huwezi kumfikisha maana ni kama mmeanza upya. Unaweza kuwa umepiga 4 na yeye hujamfikisha Kilimanjaro inakuwa umemaliza nguvu zako bure.
Mimi kwa wife nikiweka sitoi mpaka aseme ok. Hapo sirudii tunalala.