Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Sijalala usingizi umegoma

1. Awe kati sio mweusi TII na sio mweupe PEE
2.😹
3.Sijawahi kudate mwanaume 40s ila kuna mmoja ananitamanisha nimdate ana kamdomo sana..!!

Nwei ni akili za mvinyo mwitu nothing serious 😹
 
Hivi Labella ndio Lamomy umebadili jina au mmefanana tu? kitambo sijawa humu
 
Wazungu wana nini kwani?

Huwa unawalizaje watoto wa watu? walk me through it ✍️

Wee ni nani sasa, dom au sub?
View attachment 3602688
Mimi ni Domina a.k.a Mistress a.k.a Goddess,
I'm not a racist ila wazungu hapana hawanivutii kabisa, first time tulikiss na mmoja almost nitapike, ilikua ni worst experience ever🤢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…