Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Sijalala usingizi umegoma

1. Awe kati sio mweusi TII na sio mweupe PEE
Kwa hiyo maji ya kunde ndiyo mambo yako? kuna kijana nilimuona huko selfika anakufaa!
2.😹
3.Sijawahi kudate mwanaume 40s ila kuna mmoja ananitamanisha nimdate ana kamdomo sana..!!
Yuko humu?
Nwei ni akili za mvinyo mwitu nothing serious 😹
Nasubiri jibu la swali la 2, tena na kamvinyo, jibu litakuwa 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Sijalala usingizi umegoma

1. Awe kati sio mweusi TII na sio mweupe PEE
2.😹
3.Sijawahi kudate mwanaume 40s ila kuna mmoja ananitamanisha nimdate ana kamdomo sana..!!

Nwei ni akili za mvinyo mwitu nothing serious 😹
😂😂😂😂
 
Mimi ni Domina a.k.a Mistress a.k.a Goddess,
Good for you 🙌
I'm not a racist ila wazungu hapana hawanivutii kabisa, first time tulikiss na mmoja almost nitapike, ilikua ni worst experience ever🤢
Daah, kweli hawakuvutii 😄 pole mwaya kwa kupitia hiyo bad experience!
Laugh Wow GIF by King of Boys.gif
 
Back
Top Bottom