Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

1. Dark skin, Black Americans typically.
2. Sikulia kisa penzi lake tamu, hapana alinikosea totally.
3. Incest, Navutiwa kimapenzi na kaka angu, ni mtoto wa Baba Mdogo.(Msinichambe au kunisema nina Pumu kali sana Leo.)

😂😂😂
Nilijua chihuahua mwisho utaharibu 😹😹😹
 
Kheeeee 😳😳😳 siyo mwenye nuru na rangi ya mtume tena?

Oooh, alikufanyia nini?

View attachment 3602694

ungekua hauna pumu kali ningekuuliza maswali, ila subiri upone kwanza.
Mwana kwetuu, rangi ya mtume ni kwa ke kutakiwa na Me. Ke Wengi hawataki mwanaume mwenye rangi ya mtume. Ndio maana yangu ilikua vile.

Alinikosea sana yule mbwaa, Nitamuua, Lazima Nimuue.

Kwa kweli subiri nipone, afu uniulize hayo maswali.
 
😹😹😹 Sijakuchunia laaziz 😘

Wapi huko kuna baridi mi niko hapa nasikia joto nimeachia kitumbua kipigwe kiyoyozi kimenuna balaa..!! 😹
Kusoma kitumbua kimeachwa wazi halafu kimenuna nimehisi shoti, una hatari we mtoto wa kikinga😋 Kigamboni kuna baridi nije sasa nikuchangamshe hadi kitumbua chetu kicheke😍🤣🤣🤣
 
Mambo mengine hayaelezeki it can only be felt or atleast seen.
Having seggs while high ✍️ sawa!
Taking Notes GIF (1).gif
 
1. Dark skin, Black Americans typically.
2. Sikulia kisa penzi lake tamu, hapana alinikosea totally.
3. Incest, Navutiwa kimapenzi na kaka angu, ni mtoto wa Baba Mdogo.(Msinichambe au kunisema nina Pumu kali sana Leo.)

😂😂😂
Mtoto wa ba mdogo ni cousin mbona analika vizuri tu na ndoa mnafunga, woyoooooo🥂
 
Mtoto wa ba mdogo ni cousin mbona analika vizuri tu na ndoa mnafunga, woyoooooo🥂
Huku kwetu, huyu ni ndugu yangu kabisa, maana hata ubini tunatumia m1.

Ila angekua mtoto wa shangazi, nisingeogopa, ila mtoto wa baba mdogo ni ndugu kabisa huyu.
 
Uduguu afu sio utanii, nampenda sana huyu Broohz, jinsi ya kumuingia ndio nimeshindwaa Aloo.
😂😂😂
Muite mlewe halafu mengine yatajiongeza yenyewe..!! 😹😹

Sema kaka yako huyo ujue.. bora angekuwa binamu ukoo tofauti..!!
 
Back
Top Bottom