Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

We jaribu uonee nani zao kama zina asali
Kenan Thompson Laughing GIF by NBC.gif


Asali tena, siyo kwamba mechi zao zinakuwaga fupi fupi maana wameshaanza kujichokea?
 
Wampe hata vumbi nguvu zikikata 😹😹
Hawana namna, haka kakiungo ketu kanavyokuwaga na mizuka halafu kasipate dyudyu na unaliona hapo, ni ngumu sana.
Dr mwaka sifa tu.
Si umeona ss hivi queen alivyodamsh anapelekewa dyudyu zima zima bila kupunjwa 😹
Amependeza mwenyewe, najua lazima amejichukulia kakijana ka alfu mbili kanamsugua haswa haswaa!
 
Huku kwetu, huyu ni ndugu yangu kabisa, maana hata ubini tunatumia m1.
Ila angekua mtoto wa shangazi, nisingeogopa, ila mtoto wa baba mdogo ni ndugu kabisa huyu.
Nyie mtakulana, ni swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom