Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Kwa kukosa usingizi, wewe kwanini bado hujalala?Mnakesha kwa lipi?
Kwa kukosa usingizi, wewe kwanini bado hujalala?Mnakesha kwa lipi?
🤣🤣🤣 sijui nacheka nini aisee
Endelea bachiii na wewe 😹😀😀lala huko
Unaaaa wako wenyewe unakusuta 😂 😂 wewe tushushie mambo hapa!🤣🤣🤣 sijui nacheka nini aisee
Smooth 👌👌Kusoma kitumbua kimeachwa wazi halafu kimenuna nimehisi shoti, una hatari we mtoto wa kikinga😋 Kigamboni kuna baridi nije sasa nikuchangamshe hadi kitumbua chetu kicheke😍🤣🤣🤣
ntalalaje na mda wa kulala ndo mda nilikua nakula vyakuliwaKwa kukosa usingizi, wewe kwanini bado hujalala?
Daah!!!! Nifundishwe kunyamaz tuDhambi gani tena 🤭
1 nilikuwa na vutiwa na nyeupe, ila nilivyofahamu rangi ya ngozi haiongezi wala kupunguza chochote si kipaombele tena kwangu.Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi?
Tupige story kidogo:
- Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi? (mweupe, mweusi, maji ya kunde au wewe una vigezo vingine ambavyo siyo rangi ya mwili?)
- Ushawahi kulia baada ya kupewa penzi au kumliza mtoto wa mtu?
- Ni kitu gani hujawahi kukifanya ila unatamani kujaribu?
GudubaiiiiUnaaaa wako wenyewe unakusuta 😂 😂 wewe tushushie mambo hapa!
Wanakera hao, halafu anakuachia maumivu na hakuna raha umeipataMingine inasugua clito… km anataka kuwasha moto usipokuwa makini anang’oa king’amuzi 😹😹
Nachokaa ni kaka angu kabisa huyu, ubaya sasa yeye hatumii kilevi na mie situmii pia.Muite mlewe halafu mengine yatajiongeza yenyewe..!! 😹😹
Sema kaka yako huyo ujue.. bora angekuwa binamu ukoo tofauti..!!
Kama ni nzito sana haziongeleki , basi achana nazo na ulale!Daah!!!! Nifundishwe kunyamaz tu
Swadaktaaa!!Ila kwanini kwa ke tu jamani? au ndiyo mambo yenu ya dar es salaam, mbona kwetu tabora sijawahi kusikia?
Kumbe ni yule uliyesema lazima umdedishe 🫢 na siku ile pia uligoma kusema alichokufanyia, enewei pole, ila labda siku moja utamsamehe.
View attachment 3602697
Kaka gani tena 😹 acha kunipanga!Simuogopi mtu ila kuna kaka yangu namuheshimu akipita hapa atachukia..!! 😹
Tena na quick Rocka, 😂😂😂😂Wampe hata vumbi nguvu zikikata 😹😹
Dr mwaka sifa tu.
Si umeona ss hivi queen alivyodamsh anapelekewa dyudyu zima zima bila kupunjwa 😹
Queen yupo na chalii Quick Rocka, au Frank kwenye Jua kalii.Hawana namna, haka kakiungo ketu kanavyokuwaga na mizuka halafu kasipate dyudyu na unaliona hapo, ni ngumu sana.
Amependeza mwenyewe, najua lazima amejichukulia kakijana ka alfu mbili kanamsugua haswa haswaa!
Yuko Serious sanaa tatizo huyu Broohz. Hata kumuingia siwezii.Nyie mtakulana, ni swala la muda tu!
😂😂😂 ko unanijaza hapa sioo??Na ukubwa huo Unashindwaje kumbaka kaka yako.!
Nenda kamfundishe dhambi nakuhakikishia atakushukuru
Hujashiba nini, maana kama umekula haswaaaaa, lazima usingizi uje!ntalalaje na mda wa kulala ndo mda nilikua nakula vyakuliwa