Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

1 nilikuwa na vutiwa na nyeupe, ila nilivyofahamu rangi ya ngozi haiongezi wala kupunguza chochote si kipaombele tena kwangu.

2 niliwahi kulia baada ya kuumizwa , kwa sasa siwezi kulia eti kwa sababu mtu anatafuta furaha yake nje ya mimi niumie, huo ni ubinafsi .
Safi sana, masomo mazuri kujifunza kwenye maisha na mahusiano.
GIF by Jason Clarke.gif

3 akili ya mwanadamu imeundwa kujifunza na kujaribu kubuni na kuunda .
Mimi kuna miundo natamani sana kuiunda financial ndio tatizo, Idea ipo.
All the best, I hope utapata financial resources, uunde mawazo yako, labda kuna invention hapa duniani inakusubiri wewe kuigundua 🦾!
 
1. Hata sielewekagi, naweza penda huyu sababu ya tako, nikapenda yule sababu ya sura yake, nikapenda yule kisa ana tu ndevu, huyu kwa upotabo wake, mara nipende vile.. mara lipsi, basi VAGARANTI...
si mbaguzi wa rangi ila naamini wasimame wanawake wawili wenye uzuri sawa, mweupe ataonekana zaidi

2. Sijawahi kulia.. nishaliza mara kadha wa kadha.

3. Kwenye ngono kwa hapa nilipofikia sitamani jambo jipya lolote lile.
 
Back
Top Bottom