Salamu wadau.
Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500. Lakini mpaka Julai 2, baa nilizokaa 'kupata' bei ilikuwa ileile. Lakini vinywaji vya Spirit vimepanda. Je, kuna ambaye ameshakutana na bei ya punguzo ya bia?
Atupe mrejesho.