Ambao wameshakunywa bia kwa bei mpya ya punguzo, nyoosha mkono juu

Ambao wameshakunywa bia kwa bei mpya ya punguzo, nyoosha mkono juu

Hii ndiyo Tanzania bwana, unaongea Bei ya fuel una shusha Bei ya pombe, that means tunaongeza idadi ya walevi kuliko kuliko wafanya kazi,
Tusiwadharau walevi na wao wana mchango mkubwa sana katika uchumi wa nchi, kama hujui kawaulize TBL wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka. Kodi inayolipwa kutoka kwenye pombe ndiyo hiyo hiyo inayonunulia madawa hospitalini.
 
Wapi kifungu gani cha maandiko kimetaja mastabation kuwa ni dhambi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyi nikikuuliza wapi imeandikwa sigara ni dhambi utanionesha??? Neno la Mungu ni moto ulao, huwezi kufanya mastubation bila tamaa ya uzinzi kukuingia, hivyo kupitia tamaa na matamanio ya ngono, mastubation ni dhambi ( wagalatia 5:15-22)
 
Salamu wadau. Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500. Lakini mpaka Julai 2, baa nilizokaa 'kupata' bei ilikuwa ileile. Lakini vinywaji vya Spirit vimepanda. Je, kuna ambaye ameshakutana na bei ya punguzo ya bia? Atupe mrejesho.
Kiuhalisia haitakaa itokee bia ipungue bei.
 
Back
Top Bottom