Mkuu umelewa?Salamu wadau. Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500. Lakini mpaka Julai 2, baa nilizokaa 'kupata' bei ilikuwa ileile. Lakini vinywaji vya Spirit vimepanda. Je, kuna ambaye ameshakutana na bei ya punguzo ya bia? Atupe mrejesho.
Kwa nini?Mkuu umelewa?
Masturbators?? [emoji23][emoji23] walahi hakwepi mtu.Hivyi jamani bado watu hamjui kwamba ulevi ni dhambi??? YESU anawaita awaokoe kuzimu na jehannum ya moto inatisha wapendwa tubuni baada ya kifo ni hukumu.
View attachment 1838522
Mkuu kwenye zile amri 10 hujawahi kukosea hata moja??Shetani hapendi watu waende mbinguni, na kifo kitakuja mda wowote usioutarajia! Utakuwa mgeni wa nani, kwa huo ulevi, uzinzi, uasherati, ufisadi, wizi nk , tubu nafasi ingaliko
Unawaamini CCM??Salamu wadau. Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500. Lakini mpaka Julai 2, baa nilizokaa 'kupata' bei ilikuwa ileile. Lakini vinywaji vya Spirit vimepanda. Je, kuna ambaye ameshakutana na bei ya punguzo ya bia? Atupe mrejesho.
K vant ndogo zimepanda kabla ya stock kuishaNgoja stock ya zamani iishe
Jinsi wazungu walivyo kubrainwash hata hayo mapicha ya shetani yanaonyesha mtu mweusi zinduka usingizini wewe..hivi tangu dunia imeumbwa lini ulikuta dunia nzima ni watakatifu?? Watenda zambi wapo na wataendelea kuwepo ili wewe uendelee kuhubiri injili wakiokoka wote nani atamhubilia mwenzake.? Na wewe utapata wapi sadaka.?Hivyi jamani bado watu hamjui kwamba ulevi ni dhambi??? YESU anawaita awaokoe kuzimu na jehannum ya moto inatisha wapendwa tubuni baada ya kifo ni hukumu.
View attachment 1838522
Amri za Mungu ziko 10, zinajulikana.Shetani hapendi watu waende mbinguni, na kifo kitakuja mda wowote usioutarajia! Utakuwa mgeni wa nani, kwa huo ulevi, uzinzi, uasherati, ufisadi, wizi nk , tubu nafasi ingaliko
Wanatakiwa kutubu, maana baada ya kifo watakabiliana na hukumu ya kutishaMasturbators?? [emoji23][emoji23] walahi hakwepi mtu.
😂 Hapo dhambi naona ni Kama tatu tu ushoga,uuwaji na fornicator hizo nyengine ni vile utakavyoyachukulia mambo hata kwenye biblia mvinyo ulitengenezwa sana tu! Internet wengine ni sehemu ya kipata sio wote wanatumia hovyo,uongo sometimes huwa unasaidia hata uhai wa mtu! Watu wengine ukiwaambia ukweli wanakufa.. mwisho wasiku itabidi utumie akili kutokana na situation iliyopo tu.. utajiri sio mbaya sema matumizi yako tu.Hivyi jamani bado watu hamjui kwamba ulevi ni dhambi??? YESU anawaita awaokoe kuzimu na jehannum ya moto inatisha wapendwa tubuni baada ya kifo ni hukumu.
View attachment 1838522
Asante mtumishi.Shetani hapendi watu waende mbinguni, na kifo kitakuja mda wowote usioutarajia! Utakuwa mgeni wa nani, kwa huo ulevi, uzinzi, uasherati, ufisadi, wizi nk , tubu nafasi ingaliko
Pia tunakunywaivi kunywa bia kunawasaidia nini, si muache tuuu mnywe maziwa na asali!
Masturbatio sio zambi.Masturbators?? [emoji23][emoji23] walahi hakwepi mtu.