Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
yesMh..
Hili swali ni gumu sana.. Sio la kulikurupukia.. Wengi wetu tunatimiza ndoto za wazazi wetu na wala sio ndoto zetu wenyewe.. Sasa kama unatimiza ndoto ya mzazi wako utawezaje kujua dhumuni la wewe kuwa hapa duniani..
Ndio ndio maana nimesema ambae anaelewa nachozungumza!Hili swali ni gumu sana.. Sio la kulikurupukia.. Wengi wetu tunatimiza ndoto za wazazi wetu na wala sio ndoto zetu wenyewe.. Sasa kama unatimiza ndoto ya mzazi wako utawezaje kujua dhumuni la wewe kuwa hapa duniani..
Hakika hili jambo huchukua muda mrefu na huitaji ukomavu mkubwa kiakili na kiroho. Mara nyingi ni pale mtu anapokuwa na familia au kazi ama wajibu ambao unamtambulisha kwa jamii na mhusika pamoja na jamii wanakuwa na amani na wadhifa huo.Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize!
Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado sijagundua au sijawa na uhakika pamoja nimejaribu kusoma article mbali mbali.
Pindi ukijua utaonesha dalili zifuatazo
1. Unajisikia vizuri kimwili na kiakili (si rahisi kuugua)
2. Unajisikia raha kuamka asubuhi na mapema na kuanza siku mpya
3. Hakuna changamoto ya kukukatisha tamaa , Unafurahi kupambana na changamoto
4. Mtu mwenye tumaini kubwa hata kama unapitia magumu vipi
5. Unapenda na kufanya vitu vya maana vinavoleta tija kwene maisha
6. Kutambua Talanta zako na kuzitumia kuleta mabadiliko duniani
7. Pesa kwako si kipaumbele kwene kufanya vitu.
8. Hujilazimishi kufanya vitu vilivyo kwene malengo yako
9. Fursa na bahati nasibu zinaanza kujitokeza
10. Hujiona mwene nia na nguvu ya kufanya vitu vitokee
11.
Nk….
Kama umeshagundua tuambie uligunduaje na ulichukua muda gani!
🤣🤣You don't want peace, you want problems...🤨
Hii ni kweli kabisa.,.. mwanaume ukikaa japo siku 30 bila ku-pizi kwa njia yoyote ile, unakuwa na a very strong inner energy, unakuwa unajifeel uko so powerful..Binafsi sijui ila kuna story nimewahi kusikia kwamba ili mwanaume aweze kujua purpose yake lazima abstain sexual activities kwa muda fulani.
Kufanya hivyo kutamsaidia huyo mwanaume kuzi~harness hizo sexual energy na kuzielekeza kwenye his self discovery....wenyewe wanasema semen retention.
Hii itapelekea huyo mwanaume kujijua yeye mwenyewe kwanza na kujua kusudi la yeye kuwepo duniani
Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize!