Ambaye ameweza kugundua Purpose ya maisha yake!! Aniambie alifanyaje fanyaje

Unafanya kitu hadi unasahau kula.

Na sio kwa sababu hukusikia njaa, La. Ni kwa sababu hata haukung'amua kama muda ulifika wa kula na ukapita.

Yaani kwa kifupi: unaingia kwenye shughuli saa mbili sasa unapokuja kujidanganya kichwani kwamba "hii saa nane sasa hata nipumzike nikapate lunch"

Lahaula!! unapotoka nje unahisi labda kuna kupatwa kwa mwezi, jua la saa nane ndo liko hivi? Unaamua kuangalia saa unakuta ni saa kumi na mbili kasoro🤯🤯🥳
Uliwezaje kugundua….naona ww umefikia huko
 
Okay wacha nitie neno, malengo ya kuwa hapa duniani wala sio siri, aliyetuleta hapa ameshatufahamisha na ndio maisha matamu kuliko yote.

Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha lolote unaloamua kulifanya basi ni kwaajili ya kukusaidia kujisogeza na kujipendekeza zaidi kwa aliyekuumba, huyo ndiye rafiki yako wa kweli na kipenzi zaidi, maana wazazi wazuri waliokuzaa yeye ndiye aliyekuchagulia, mke mzuri au mume au watoto yeye ndiye aliyekuchagulia na kaka na dada zako pia, basi huyo anapaswa kupendwa zaidi kuliko chochote.

Kwa kumalizia sitaki kurefusha, hakikisha kila unachofanya ni kwaajili yake, hapo utapata ukunjufu wa kifua na utafurahia maisha kuliko wakati wowote, na hutojutia changamoto yeyote unayopitia, ila tu fuata mwongozo wake usijitungie wa kwako.

Asante.
Friedrich Nietzsche
mmmh
 
Umesema wewe hujagundua bado purpose ya maisha Yako,Sasa hizo dalili umezitolea wapi au ndo umehadithiwa na waliogundua
Mkuu,,, kama umefuatilia nimesema nimekua nikisoma vitabu na kutafuta hizo info muda mrefu kwaiyo siku nikigundua nitajua
 
Mbona simple
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa nyingine hizo ni blah blah tu furaha ya kweli ni kujua uhitaji wako wa kiroho hizo nyingine ni maneno za kutungwa kwa hekima za kibinadam
Mkuu apo nipo tofauti na unavyoamini!!
Purpose of life siyo kumcha mungu ila kumcha mungu ni sehemu ya kisindikizi cha safari.
Purpose ya maisha ni kile kitu ambacho umezaliwa kukifanya inaweza ikawa ni kazi fulani,kipaji fulani au malengo ambayo yana impact kwene dunia
 
Binafsi sijui ila kuna story nimewahi kusikia kwamba ili mwanaume aweze kujua purpose yake lazima abstain sexual activities kwa muda fulani.

Kufanya hivyo kutamsaidia huyo mwanaume kuzi~harness hizo sexual energy na kuzielekeza kwenye his self discovery....wenyewe wanasema semen retention.

Hii itapelekea huyo mwanaume kujijua yeye mwenyewe kwanza na kujua kusudi la yeye kuwepo duniani
Aisee hii msg yako ina contribution kubwa sana ! Nahisi nimekuelewa
Nishawai sikia sijui kama kuna mtu ashafanya hii kitu
 
Nahisi nimesha Rudi huko, mwanzoni ili potea Kutokana na kuzidisha ujinga fulani.

Ila sign ya kwanza ni Uhuru wa mind yangu, to be true am feeling above the past me.

Since birth nawa ambiaga nyumbani, my purpose is this and it shall be.
Kama jokes vile, ila ndo Ina enda kutimia(let's keep pounding fellas)
 
Ulijuaje au uliwezaje kugundua
 
Binafsi sijui ila kuna story nimewahi kusikia kwamba ili mwanaume aweze kujua purpose yake lazima abstain sexual activities kwa muda fulani.

Kufanya hivyo kutamsaidia huyo mwanaume kuzi~harness hizo sexual energy na kuzielekeza kwenye his self discovery....wenyewe wanasema semen retention.

Hii itapelekea huyo mwanaume kujijua yeye mwenyewe kwanza na kujua kusudi la yeye kuwepo duniani
Naunga mkono hoja yako mkuu.
 
Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize!

Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado sijagundua au sijawa na uhakika pamoja nimejaribu kusoma article mbali mbali.

Pindi ukijua utaonesha dalili zifuatazo

1. Unajisikia vizuri kimwili na kiakili (si rahisi kuugua)

2. Unajisikia raha kuamka asubuhi na mapema na kuanza siku mpya

3. Hakuna changamoto ya kukukatisha tamaa , Unafurahi kupambana na changamoto

4. Mtu mwenye tumaini kubwa hata kama unapitia magumu vipi

5. Unapenda na kufanya vitu vya maana vinavoleta tija kwene maisha

6. Kutambua Talanta zako na kuzitumia kuleta mabadiliko duniani

7. Pesa kwako si kipaumbele kwene kufanya vitu.

8. Hujilazimishi kufanya vitu vilivyo kwene malengo yako

9. Fursa na bahati nasibu zinaanza kujitokeza

10. Hujiona mwene nia na nguvu ya kufanya vitu vitokee
11.

Nk….
Kama umeshagundua tuambie uligunduaje na ulichukua muda gani!
Ukiwa Karibu Na Mungu utaijua purpose Ya wewe kuletwa huku duniani there is a mission you have to accomplish
 
Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize!

Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado sijagundua au sijawa na uhakika pamoja nimejaribu kusoma article mbali mbali.

Pindi ukijua utaonesha dalili zifuatazo

1. Unajisikia vizuri kimwili na kiakili (si rahisi kuugua)

2. Unajisikia raha kuamka asubuhi na mapema na kuanza siku mpya

3. Hakuna changamoto ya kukukatisha tamaa , Unafurahi kupambana na changamoto

4. Mtu mwenye tumaini kubwa hata kama unapitia magumu vipi

5. Unapenda na kufanya vitu vya maana vinavoleta tija kwene maisha

6. Kutambua Talanta zako na kuzitumia kuleta mabadiliko duniani

7. Pesa kwako si kipaumbele kwene kufanya vitu.

8. Hujilazimishi kufanya vitu vilivyo kwene malengo yako

9. Fursa na bahati nasibu zinaanza kujitokeza

10. Hujiona mwene nia na nguvu ya kufanya vitu vitokee
11.

Nk….
Kama umeshagundua tuambie uligunduaje na ulichukua muda gani!
Ndoa umeshaimudu kwanza? Si ndio.unaenda mwezi wa pili?
 
Aisee Mimi naweza kusema niligundua niliifanyia kaz mapema na sasa naishi kile nilichokipenda sema ili kuishi hilo kuna gharama sio kitoto. Ila kwa neema ya Mungu tuko kama tulivyo.
 
Binafsi sijui ila kuna story nimewahi kusikia kwamba ili mwanaume aweze kujua purpose yake lazima abstain sexual activities kwa muda fulani.

Kufanya hivyo kutamsaidia huyo mwanaume kuzi~harness hizo sexual energy na kuzielekeza kwenye his self discovery....wenyewe wanasema semen retention.

Hii itapelekea huyo mwanaume kujijua yeye mwenyewe kwanza na kujua kusudi la yeye kuwepo duniani
Hili linaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa tu
 
Back
Top Bottom