Ambaye ameweza kugundua Purpose ya maisha yake!! Aniambie alifanyaje fanyaje

Uliwezaje kugundua….naona ww umefikia huko
 
mmmh
 
Umesema wewe hujagundua bado purpose ya maisha Yako,Sasa hizo dalili umezitolea wapi au ndo umehadithiwa na waliogundua
Mkuu,,, kama umefuatilia nimesema nimekua nikisoma vitabu na kutafuta hizo info muda mrefu kwaiyo siku nikigundua nitajua
 
Mbona simple
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa nyingine hizo ni blah blah tu furaha ya kweli ni kujua uhitaji wako wa kiroho hizo nyingine ni maneno za kutungwa kwa hekima za kibinadam
Mkuu apo nipo tofauti na unavyoamini!!
Purpose of life siyo kumcha mungu ila kumcha mungu ni sehemu ya kisindikizi cha safari.
Purpose ya maisha ni kile kitu ambacho umezaliwa kukifanya inaweza ikawa ni kazi fulani,kipaji fulani au malengo ambayo yana impact kwene dunia
 
Aisee hii msg yako ina contribution kubwa sana ! Nahisi nimekuelewa
Nishawai sikia sijui kama kuna mtu ashafanya hii kitu
 
Nahisi nimesha Rudi huko, mwanzoni ili potea Kutokana na kuzidisha ujinga fulani.

Ila sign ya kwanza ni Uhuru wa mind yangu, to be true am feeling above the past me.

Since birth nawa ambiaga nyumbani, my purpose is this and it shall be.
Kama jokes vile, ila ndo Ina enda kutimia(let's keep pounding fellas)
 
Ulijuaje au uliwezaje kugundua
 
Naunga mkono hoja yako mkuu.
 
Ukiwa Karibu Na Mungu utaijua purpose Ya wewe kuletwa huku duniani there is a mission you have to accomplish
 
Ndoa umeshaimudu kwanza? Si ndio.unaenda mwezi wa pili?
 
Aisee Mimi naweza kusema niligundua niliifanyia kaz mapema na sasa naishi kile nilichokipenda sema ili kuishi hilo kuna gharama sio kitoto. Ila kwa neema ya Mungu tuko kama tulivyo.
 
Hili linaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…