Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tunaishi kwa kuinjoy zawadi ya uhai, afya ya mwili na Roho. Mengine ni ziada kadiri ya karama, utashi bidii na mararifa ambayo pia ni zawadi kutoka kwa Mungu na kila moja wetu amepewa bure 🐒Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize!
Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado sijagundua au sijawa na uhakika pamoja nimejaribu kusoma article mbali mbali.
Pindi ukijua utaonesha dalili zifuatazo
1. Unajisikia vizuri kimwili na kiakili (si rahisi kuugua)
2. Unajisikia raha kuamka asubuhi na mapema na kuanza siku mpya
3. Hakuna changamoto ya kukukatisha tamaa , Unafurahi kupambana na changamoto
4. Mtu mwenye tumaini kubwa hata kama unapitia magumu vipi
5. Unapenda na kufanya vitu vya maana vinavoleta tija kwene maisha
6. Kutambua Talanta zako na kuzitumia kuleta mabadiliko duniani
7. Pesa kwako si kipaumbele kwene kufanya vitu.
8. Hujilazimishi kufanya vitu vilivyo kwene malengo yako
9. Fursa na bahati nasibu zinaanza kujitokeza
10. Hujiona mwene nia na nguvu ya kufanya vitu vitokee
11.
Nk….
Kama umeshagundua tuambie uligunduaje na ulichukua muda gani!
Amesimuliwa na motivational speaker wa YouTubeUmesema wewe hujagundua bado purpose ya maisha Yako,Sasa hizo dalili umezitolea wapi au ndo umehadithiwa na waliogundua
Hongera Sana Mkuu But Ili kugundua purpose sio kazi ya Siku Moja ni kazi ya Miezi even Miaka bils kufanya Ordeals zozote..DR Mambo Jambo Lete neno mkubwaz kwa upande wangu energy yangu I'me rudi
Badoumeoa
Baba yako ni msaada wako pekee labda km sio Baba yako basi Mama yako maana wao ndio wamefanikisha umefika ulipofika ukubari au ukatae itabaki kua hivyo kwa hio usiseme 'sijawahi kuomba msaada kwa mtu' hao wazazi wako 'mama ataka kunya' unasubiri uvuliwe nguo ili unye ujisaidie hujasaidiwa hapo?Sijawahi kuomba msaada kwa mtu maishani
Baba yako ni msaada wako pekee labda km sio Baba yako basi Mama yako maana wao ndio wamefanikisha umefika ulipofika ukubari au ukatae itabaki kua hivyo kwa hio usiseme 'sijawahi kuomba msaada kwa mtu' hao wazazi wako 'mama ataka kunya' unasubiri uvuliwe nguo ili unye ujisaidie hujasaidiwa hapo?
Hapo bado kuna ndugu, Jamaa na marafiki wanaokusaidia invisibly yaan wanakusaidia bila wewe kuwaona kwa hio usiseme kwamba ooh maishani sijawahi kumuomba mtu msaada, yaan temamate
Mkuu kuomba na kusaidiwa ni mambo mawili tofauti kabisaBaba yako ni msaada wako pekee labda km sio Baba yako basi Mama yako maana wao ndio wamefanikisha umefika ulipofika ukubari au ukatae itabaki kua hivyo kwa hio usiseme 'sijawahi kuomba msaada kwa mtu' hao wazazi wako 'mama ataka kunya' unasubiri uvuliwe nguo ili unye ujisaidie hujasaidiwa hapo?
Hapo bado kuna ndugu, Jamaa na marafiki wanaokusaidia invisibly yaan wanakusaidia bila wewe kuwaona kwa hio usiseme kwamba ooh maishani sijawahi kumuomba mtu msaada, yaan temamate chini
ni rahisi ukiwa hujaoa ! yaan ukioa mke awezi kukuruhusu hata siku tatu hujamchakataBado
Maana yake uliposema 'maishani mwangu sijawahi kuomba mtu msaada' ulikua haupo sahihi mwenyewe umekubari kwamba umewakosea mpaka wazazi wako kwa kusema hukuwahi kuwaomba msaada hata wa kukuzaa ukimaanisha ungetangulia ungewazaa wewe? Kiburi cha Pesa na mafanikio unaona kilivyolevya Nafsi yakoAsiesaidiwa na wazazi ni yatima tu aliepoteza wazazi akiwa mdogo
Mboni kuna Jamaa humu kaoa Mwanamke wa kichaga analialia kwamba ananyimwa chakula cha usiku na masimango kibaoni rahisi ukiwa hujaoa ! yaan ukioa mke awezi kukuruhusu hata siku tatu hujamchakata
Nimeipenda hiiUmesema wewe hujagundua bado purpose ya maisha Yako,Sasa hizo dalili umezitolea wapi au ndo umehadithiwa na waliogundua
Labda hiyo ndio purpose yako ya Maisha 😂😂Aisee nimesoma andiko lako nikafikiria binafsi nimepotea sielewi yani niko overless sielewi nimechanganyikiwa moja aikai wala mbili
Hii kwa upande wangu nakataa kwasababu sex ni miongoni mwa mahitaji muhimu sana ya mwanadamu mwenye afya yake, asipopata hii huduma anakuwa hana utulivu kabisa,,, swali linakuja je utajuaje dhumuni la maisha yako kama huna utulivu ndani ya nafsi yakoBinafsi sijui ila kuna story nimewahi kusikia kwamba ili mwanaume aweze kujua purpose yake lazima abstain sexual activities kwa muda fulani.
Kufanya hivyo kutamsaidia huyo mwanaume kuzi~harness hizo sexual energy na kuzielekeza kwenye his self discovery....wenyewe wanasema semen retention.
Hii itapelekea huyo mwanaume kujijua yeye mwenyewe kwanza na kujua kusudi la yeye kuwepo duniani
Sipingani na wewe unachosema ni sahihi lakini naona hii iko general sana. Kimsingi purpose ya chochote lazima liendane na misingi ya chanzo chake(chanzo cha mtu ni Mungu).Mbona simple
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa nyingine hizo ni blah blah tu furaha ya kweli ni kujua uhitaji wako wa kiroho hizo nyingine ni maneno za kutungwa kwa hekima za kibinadam
Hivi mtoa mada hivi unatambua kama Kuna Kuna aina nne za kusudi:Mkuu,,, kama umefuatilia nimesema nimekua nikisoma vitabu na kutafuta hizo info muda mrefu kwaiyo siku nikigundua nitajua
KaribuNimeipenda hii