Ambaye ameweza kugundua Purpose ya maisha yake!! Aniambie alifanyaje fanyaje

Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu, ishi kama unavyopewa, usiwe na matrajio wala manung'uniko.
 
Watu huwaga wanakiburi cha mafanikio mtu akifanikiwa ni rais sana kuongea ujinga kama huyo jamaa

Kusaidiwa sio lazima mtu akupe hela hata mawazo tu huo ni msaada mkubwa
Navyokuja jamiiforum kuna comment nasoma za watu naziapply kwenye maisha zinansaidia huo ni msaada hatakama muandika comment simjui

Msaada ni msaada hatakama hujaomba mfano yeye aanguke na azimie kwa hiyo watu watakuacha wasikupe huduma ya kwanza na kukupeleka hospitali sababu hukuwaomba kauli nyingine za kijinga sana
 
Msaada ni msaada hatakama hujaomba mfano wewe uanguke na uzimie kwa hiyo watu watakuacha wasikupe huduma ya kwanza na kukupeleka hospitali sababu hukuwaomba kauli nyingine za kijinga sana

Au ufariki ghafla kwa hiyo watu wataacha kukuzika kwa sababu hukuomba msaada
Shida hainaga hodi acha kukufuru
 
Sijakufuru aisee wala lengo langu halikuwq hilo naona wewe ndio umelikuza sana

Inategemea umeelewa vipi
Nani asiepata msaada
Mimi nilikuwa na maana tofauti financially
Hivi mimi ni mjinga kiasi gani nishindwe kujua aina ya misaada
Changia mada kwa staha utaeleweka kwani ugomvi mbona umekasirika hivyo
Binadamu tunahitajiana sana hata tunahitaji msaada kwa wanyama pia sio ajabu ila umeni quote tofauti
Uwe na amani sana, Dunia haihitaji hasira kumjibu mtu

Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…