Ambaye hajalala tupige stori.

now at least you have my shoulders to cry on. An the good news is that...they are not for voting....exclusive for my niece.
 
EMT ni still a winner
kuwa na mwali na husninyo na belinda si kitu kidogo
na wanalia now hajachaguliwa
i envy him....

you see....me katika hao watatu,....mmoja ananiuma roho LOL
 
now at least you have my shoulders to cry on. An the good news is that...they are not for voting....exclusive for my niece.
Thank you Uncle... I know.
Husninyo umesoma hapo bold?
Najua wewe ni favorite wa anti,
but mimi ni favorite wa Uncle. lol
 
EMT ni still a winner
kuwa na mwali na husninyo na belinda si kitu kidogo
na wanalia now hajachaguliwa
i envy him....

the boss tena tunalia si kidogo. Imagine mi na belinda tulichagua watu sawa as if tuliambiana na bado wametoswa. Dah! Kweli uchakachuzi hauwezi kuisha.
 
hahahahaha! Babu hawezi kukagua kama hajaruhusiwa na uncle. Lol.
Simuamini babu yule! na hivi wamekua na Kongosho ni tabu tupu.
Uliona alivo kua anawalengesha Neema na Jakelin kwa Babu wakakaguliwe?
 
Thank you Uncle... I know.
Husninyo umesoma hapo bold?
Najua wewe ni favorite wa anti,
but mimi ni favorite wa Uncle. lol

hahaha! I know that cousin but unasahau kuwa mtoto wa kike anatakiwa kuwa karibu na mama zaidi na si baba?
 
the boss tena tunalia si kidogo. Imagine mi na belinda tulichagua watu sawa as if tuliambiana na bado wametoswa. Dah! Kweli uchakachuzi hauwezi kuisha.
Imagine mimi kura yangu wameiandika kama chit chat, eti I was not serious. loool
Na Taz alinukuu kwa kusema Hii ndio kura yangu, wanasema hakupiga kura vipaswavo
Alitakiwa kuandika MAn of the year.... King of MMU...
wakati quote alio nuku was saying just that!
With kura 5 he was clearly ahead of Ban AND Aspirin combined.
But isiwe tabu, wache kura ziendelee, tujue nani mshindi wao
let tonight be the night I celebrate mshindi wangu mimi.
 
Pole ya nini sasa wakati mshindi wangu kapatikana?
Ni shangwe na furaha tu zinaendelea, wengine nao wachague wao.

kwani EMT was your man of the year
sasa mmu king wako ni yupi?
 
hahaha! I know that cousin but unasahau kuwa mtoto wa kike anatakiwa kuwa karibu na mama zaidi na si baba?
Anti mwenyewe ndio alinambia nimesha jifunza mengi toka kwake,
Now it is time niwe karibu na Uncle ili nione how a real gentleman behaves
siku nitapata mume mtarajiwa nisije nikapewa less than what I truly deserve
 
now....how do we do it....yeah?
 
we celebrate pamoja cousin..
Nafurahi kwa wanawake hakukuwa na longolongo.Mi mzuka wote wa kupiga kura umeisha.
 
Anti mwenyewe ndio alinambia nimesha jifunza mengi toka kwake,
Now it is time niwe karibu na Uncle ili nione how a real gentleman behaves
siku nitapata mume mtarajiwa nisije nikapewa less than what I truly deserve

unataka uobserve how a real gentleman behaves to his woman au to his daughters? Kama to his woman, you have to be close to both aunt and uncle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…