LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
njoeni niwapulizie unyunyu msije mkashindwa kurudi.
Unyunyu labda si tukupulizie!
Yani tupo fuuul gwamba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoeni niwapulizie unyunyu msije mkashindwa kurudi.
ni mimi,vp nikupe kitu cha ara chuga????
we mtei acha hizo jamaa angu aisee!mbutana!
Then please, acha utani na bodiguard. Mbwa akichezea ngozi muda mrefu mwishowe huila (source: Kongosho)
jingine, don't drive while...oops! Don't ride while....! Sorry, ungo tunaride au tunadrive? Lol.
Lawyer,hivi umempeleka wapi feis buku?I'm curious!!
huo unyunyu una kiwango gani? Au ni ule wa bukubuku wa wamachinga?
Feis buku ameolewa bukina faso na mpiga zumari wa bendi flani inayokwenda kwa jina la chakulaga chioneLawyer,hivi umempeleka wapi feis buku?I'm curious!!
kwani naongopa?
Sisi magenius ni multi task mkuu. Mkono mmoja JF mkono mmoja nakokotoa logarism bila kalkuleta
Unyunyu labda si tukupulizie!
Yani tupo fuuul gwamba!
Khaaaa! violation of professional rulesooh! Bodigadi ndio shemeji eeh! Naomba nimtanie vya mwisho mwisho.
kiwango cha kimataifa. Unataka?
sana tu mkuu.
Khaaaa! violation of professional rules
haya, nawakumbusha kuwa makini na sheria za angani.
Feis buku ameolewa bukina faso na mpiga zumari wa bendi flani inayokwenda kwa jina la chakulaga chione
Nakuonea huruma. Bodyguard wangu akisoma hapa you are so in trouble!yep ili hayo macho yako yalegee vizuri uvue na huo ushungi
nishakatazwa kucheka na wewe. Tokaaaa!
yep kwa kila puf bei gan?