Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Deskmate! mbona husn ni shemeji yangu bana.
mwambie shem, na ujitahidi kujitetea mambo yasiharibike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deskmate! mbona husn ni shemeji yangu bana.
Hii ndo ya ukweli,ukipiga pafu mbili tosha,ukizidisha unaharibu mazingira!
Lizzy si amefungua genge la supu ya kenge sinza? au unamuongelea lizzy gani?
unaish kutegemeana na mazingra
Ka mwalim kawe ka potabo shem, kama ana mtambi namnadia mwizi before tuishennisamehe shem, nitakutafutia mwalimu wa tuition.
Ka mwalim kawe ka potabo shem, kama ana mtambi namnadia mwizi before tuishen
Bado mkuu, wadada wa JF wachoyo balaa. Hata elimu wanabaniatayari wameshaku pm?
Apo ndo mtaji umekuwa mkuu, alikuwa anauza supu ya paka halaf anawaambia wateja wake ndama wa ng'ombe. Lizzy katoka mbali mkuukumbe ni ya Kenge?
Hesabu tu shem hakyanani tenakuna somo lingine unataka kufundishwa au ni hesabu tu?
mPM mzizimkavu LolNatafuta anayejua umuhimu wa maharage mwilini anielezee.
mazingira yetu hayaruhusu hivyo.
Uporoto1.Kwa kaka yako yupi?
Hesabu tu shem hakyanani tena
mPM mzizimkavu Lol
nitakufundisheni. Cousin wangu atakuja kesho afta church.
Wewe ushawahi kumuona mhasibu bongenyanya duniani? ukimuona basi ujue alikuwa kipotabo madawa ya mchina yakamzuru. Think! shem think!ukifundishwa na ticha bongenyanya hutoelewa?
mchana nilikuwa natembeza mahindi ya kuchemsha. Nipe updates za candidate wetu. Thread imekuwa ndefu sana hadi nimeshindwa kufatilia.
Aaaah, Ok. Yuko wapi siku hizi? nae kapotea kiainaUporoto1.
Kwa kiswahili?nifundishe kupm.