Amber Lulu aponda muonekano wa Ommy Dimpoz

Amber lulu ni malaya wa mbeya katumwa pesa ommy dimpoz hana mvuto tena kwa jamii kama ilivyo kwa juma jux
Awe malaya au changudoa kaongea Fact!
Tuishie hapo!
Japo ameulizwa kati ya chongo na kengeza unachagua nini so me naona kajibu kadiri ya uwezo wake so na kwa uwezo wake tunavoujua amejibu vizuri sana
 
Awe malaya au changudoa kaongea Fact!
Tuishie hapo!
Japo ameulizwa kati ya chongo na kengeza unachagua nini so me naona kajibu kadiri ya uwezo wake so na kwa uwezo wake tunavoujua amejibu vizuri sana
Sijawahi ona malaya kaongea fact since i was born
 
Mi cjui nina taste na hawa watu!!

Yaani from Day 01 nilipomuona tu Dimpoz hapo hapo nikawa na mashaka nae!!

Ndiyo lips denda ni maumbile yenye baraka za Muumba lakini swaga zake ni makusudi!!
 
Dimpoz kwa mapozi kaliteka soko la kimataifa Amber anataka kuharibu soko wakati amesha chelewa teh teh
 
Yeye ambalulu ana nini maana sioni km ana mbele wala nyuma
 
Amber Lulu na Ommy Dimpoz itakuwa wanagombea bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…