Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Alafu omy dimpozi ni mrembo kuliko amberlulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe malaya au changudoa kaongea Fact!Amber lulu ni malaya wa mbeya katumwa pesa ommy dimpoz hana mvuto tena kwa jamii kama ilivyo kwa juma jux
Sijawahi ona malaya kaongea fact since i was bornAwe malaya au changudoa kaongea Fact!
Tuishie hapo!
Japo ameulizwa kati ya chongo na kengeza unachagua nini so me naona kajibu kadiri ya uwezo wake so na kwa uwezo wake tunavoujua amejibu vizuri sana
Who cares?Sijawahi ona malaya kaongea fact since i was born
I care n all great thinkers.Who cares?
YouTube, may beHuyu jamaa pesa anapata wapi za kwenda ulaya kula bata sioni show anazofanya
Muachie ngoswe jombaaYa ngoswe
KI care n all great thinkers.
Yeye ambalulu ana nini maana sioni km ana mbele wala nyumaMods msifute huu uzi kuna cha kujifunza hapa.
Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwa.kaza kuna siku watakushika wo.wo.wo..
Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amberlulu baada ya kumshukia staa wa bongo fleva aliyeasi muziki na kuwa staa wa Instagram kwa kupost picha akiwa anakula bata ughaibuni, ambapo wadadisi wa mambo wanasema safari hizo za ng'ambo zipo chini ya udhamini mkubwa wenye malipo magumu.
Akijibu swali la mtangazaji wa moja ya kipindi cha online tv ambopo aliulizwa kama ikitokea Jux na Ommy Dimpoz wamepeleka posa nyumbani kwao atamchagua nani.Amberlulu alijibu "Obvious nitamchagua Jux" huku akifafanua kuwa msanii dimpoz hana mvuto hajakaa kiume,hivyo hawezi kubattle na Jux hata kidogo.
Ushauri kwa vijana wa kiume: Usithubutu kuzoeana sana na wtoto wa kike bila hata kuchombeza hata kama atakunyima ila fresh ushamuonyesha kuwa una uwezo wa kumlala la sivyo uta hanithiwa
Toa maoni yako bila kutukana mtu tafadhali
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Amberlulu anaona wivu Dimpoz ana madanga ya ukweli kuliko yeye
Huyo baba yke tajiri sana huko tabora anamiliki bodaboda 1 na baiskeliHuyu jamaa pesa anapata wapi za kwenda ulaya kula bata sioni show anazofanya
Wanawake hawapendani siku zoteAmber Lulu na Ommy Dimpoz itakuwa wanagombea bwana.
Kwa madanga yakeHuyu jamaa pesa anapata wapi za kwenda ulaya kula bata sioni show anazofanya
ATI NINI?Kwa madanga yake
Duuh hii ID yako hii teh teh tehATI NINI?