Amber lulu Ni zaidi ya Msanii

Dad Kakuskia......pendekeza wilaya sasa...
 
Ulikuwa umelewa kipindi anaperform au ni ushamba wako?
 
Mkuu ile show niliyoona vumbi tu kumbe kuna watu wenye akili timamu mliokua pale...

Mimi nilidhani ni vichaa tu na wanywa gongo wapo pale
😀😀😀😀 Aisee kuna muimba singeli alisema anataka kuona vumbi nao bila hiyana walimtimulia, i hope tamasha lijalo waandaaji watahakikisha hamna vumbi uwanjani!
 
Hutakiwi kujua ila nawe jitahidi ukutane nae. Nimuone wivu mtoto wa kike kwa lipi sasa au hukitaka ukweli au wewe ndie Amber mwemnyewe
niliyoyaona yanatosha kuconclude hata awe na madhaifu kiasi gani still ni mtu unayeweza kumsifia kwa mazuri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…