King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Chezeni kwa Steps kuna miwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee Mimi Pacha wako .Watu wanamchukia Mungu sembuse binadam
kweli, very impressive
Dad Kakuskia......pendekeza wilaya sasa...Hichi Kichwa nilikiona kwenye Komaa Concert ya EFM Mwanza hakika kwa upande wa kina dada yeye ndie aliegusa nyoyo zetu wasukuma na kutuacha Hoi, Kama kuna mtu ambaye yupo karibu nae huku Tafadhali mwambie wasukuma tulimkubali sana, hata ao waandaji wakija na Tamasha Lingine Ruksa kumleta Amber Lulu tu peke yake nasisi bila hiyana tutalipa viingilio tu! by the way nnataka kumwita mtoto wangu Amber, hilo jina Kanisani linakubalika ??
View attachment 822762View attachment 822763View attachment 822764
😀😀😀😀 Aisee kuna muimba singeli alisema anataka kuona vumbi nao bila hiyana walimtimulia, i hope tamasha lijalo waandaaji watahakikisha hamna vumbi uwanjani!Mkuu ile show niliyoona vumbi tu kumbe kuna watu wenye akili timamu mliokua pale...
Mimi nilidhani ni vichaa tu na wanywa gongo wapo pale
Hahaha dahMkuu ile show niliyoona vumbi tu kumbe kuna watu wenye akili timamu mliokua pale...
Mimi nilidhani ni vichaa tu na wanywa gongo wapo pale
Yna kwenye avatar ni wewe??
HapanaYna kwenye avatar ni wewe??
Hutakiwi kujua ila nawe jitahidi ukutane nae. Nimuone wivu mtoto wa kike kwa lipi sasa au hukitaka ukweli au wewe ndie Amber mwemnyeweUo ni wivu tu, umekutana nae wapi ili uthibitishe hilo ?
niliyoyaona yanatosha kuconclude hata awe na madhaifu kiasi gani still ni mtu unayeweza kumsifia kwa mazuri yakeHutakiwi kujua ila nawe jitahidi ukutane nae. Nimuone wivu mtoto wa kike kwa lipi sasa au hukitaka ukweli au wewe ndie Amber mwemnyewe
[emoji16] [emoji16]Kwa kweli anaimba vzr ila nikimuona mwenyewe napatwa na mvurugiko wa tumbo kuhala si kuhala ilimradi tu mchafuko.
Hapana yako inatia mashakaHapana