Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Hichi Kichwa nilikiona kwenye Komaa Concert ya EFM Mwanza hakika kwa upande wa kina dada yeye ndie aliegusa nyoyo zetu wasukuma na kutuacha Hoi, Kama kuna mtu ambaye yupo karibu nae huku Tafadhali mwambie wasukuma tulimkubali sana, hata ao waandaji wakija na Tamasha Lingine Ruksa kumleta Amber Lulu tu peke yake nasisi bila hiyana tutalipa viingilio tu! by the way nnataka kumwita mtoto wangu Amber, hilo jina Kanisani linakubalika ??