we vpi kuna dhambi zingine hazihitaji kusubiria hukumu hapahapa unajibiwa huo ni ulokole au upumbavu mtu katembea uchi kwa nini tusimjadili unasema tunahukumu1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri boss hakuna hukumu ya moja kwa moja niliohukumu hapo Bali ni Swali tu1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa hiyo sio sketi, hiyo inaitwa KILT. Ni Traditional Wear ya Highlanders huko Scotland na inavaliwa na wanaume.Kwa hizo picha zinaonyesha wote wawili hapo wanafanya biashara ya kupigwa miti.
Mmoja ni malaya wa kike, mwingine ni shoga.
Wote wamepakwa mafuta, mwanamke yuko uchi na mwanaume kavaa sketi ya kike.
Kweli biashara ni matangazo.
Wamelaaniwa kabisa hao.
Ndugu tofauti yako na hawa ni kwamba wewe unajificha na wao wameamua kufanya hadharani. Ila wote yaani wewe na wao mna la kujibu kwa mungu. Saasawa kijanaHabari wanaJF,AMA kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonye hta papuchii nje nje.....Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa mmi sijui.
View attachment 577327
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba mi msafi wa nafsi....Bali hili linapaswa kupigwa Kwani wanaharibu kizazi chetuNdugu tofauti yako na hawa ni kwamba wewe unajificha na wao wameamua kufanya hadharani. Ila wote yaani wewe na wao mna la kujibu kwa mungu. Saasawa kijana
hahaha, acha wapambane na weather zao eti !! hahahaAcha wapambane na hali zao.
Notedhahaha, acha wapambane na weather zao eti !! hahaha
Audhubillah Mina shaitwan rajiimHabari wanaJF,AMA kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonye hta papuchii nje nje.....Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa mmi sijui.
View attachment 577327
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie em acheni akili zenu mgando HV unaona hizo picha zinapendeza kwa Mungu?? Na kwenye Jamii je?? Em jaribu kufungua akili zenu linapokuja swala la kukosoa upuuzi unaofanywa na wasanii nowdays kwahiyo wakikosolewa ndo wamehukumiwa?? Mungu mwenyewe anasema mrekebishe mwenzio unapoona anapotea,1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa yaani wanatia kichefuchefuHivi sheria za mtandao zinafanya kazi kwenye siasa tu? Wangetoa mfano mmoja tungepumzika hizi picha