Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipitia comments za watu hapa ndo utajua umasikini ni kitu kibaya sana.

Sasa mlitaka kila mtu awe waziri?
 
1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
we vpi kuna dhambi zingine hazihitaji kusubiria hukumu hapahapa unajibiwa huo ni ulokole au upumbavu mtu katembea uchi kwa nini tusimjadili unasema tunahukumu
 
Masikini wazazi wake bado wapo kweli au waliisharudisha namba. Maana hiyo picha akiiona mzazi ni aibu na fedheha ukizingatia hadi Leo bado masikini labda na umsaidii lolote kwenye maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizo picha zinaonyesha wote wawili hapo wanafanya biashara ya kupigwa miti.
Mmoja ni malaya wa kike, mwingine ni shoga.
Wote wamepakwa mafuta, mwanamke yuko uchi na mwanaume kavaa sketi ya kike.
Kweli biashara ni matangazo.

Wamelaaniwa kabisa hao.
Jombaa hiyo sio sketi, hiyo inaitwa KILT. Ni Traditional Wear ya Highlanders huko Scotland na inavaliwa na wanaume.

upload_2017-8-29_14-34-50.jpeg


upload_2017-8-29_14-35-7.jpeg
 
Kinachoniumiza ni huyu Amber lulu.

Young D anaweza badilika naakaaminika .


Amber yeye hajui atakapokua ktk age yake ya 28-35 atakuaje .......shida yetu wabongo huwa hatunahofu nanyakat zijazo nahatujifunzi kwawalio tangulia ...

Refer- Ray C
Sinta
Johari
Upcoming wema
Shishi

Wasanii wabongo bhana.
 
Ndugu tofauti yako na hawa ni kwamba wewe unajificha na wao wameamua kufanya hadharani. Ila wote yaani wewe na wao mna la kujibu kwa mungu. Saasawa kijana
Si kwamba mi msafi wa nafsi....Bali hili linapaswa kupigwa Kwani wanaharibu kizazi chetu
Kwa akili yako finyu hii picha inamfundisha nini dada ako na wadogo zako,mpaka mtoto wako anajifunza nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sheria za mtandao zinafanya kazi kwenye siasa tu? Wangetoa mfano mmoja tungepumzika hizi picha
 
~~>>>Kijana wa kiume unaanzaje kuvaa nguo za kike¿¿¿¿...
 
1. Kwanini ni rahisi kuhukumu wengine
2. Kwa nini tunapohukumu wengine tunakuwa strict sana
3. Kila mtu atajibu madhambi yake , waache watajibu ya kwao na wewe jiandae kujibu ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie em acheni akili zenu mgando HV unaona hizo picha zinapendeza kwa Mungu?? Na kwenye Jamii je?? Em jaribu kufungua akili zenu linapokuja swala la kukosoa upuuzi unaofanywa na wasanii nowdays kwahiyo wakikosolewa ndo wamehukumiwa?? Mungu mwenyewe anasema mrekebishe mwenzio unapoona anapotea,
Acheni kutete ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo dogo nae kapakwa mafuta...hawa wanaume wa dar ni kero

Mjumbe wa JF kutoka Kiseke- Mwanza
 
Back
Top Bottom