Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Mimi hua naogopa sana mitandao as I know the internet lives forever. Najiuliza kama nikifanya vitu flan kwa kushawishika na ujana, je when it reaches a time I got family halafu wakauona upuuzi baba yao niliokua naufanya enzi za ujana wangu hivi watanifikiriaje na watajiskia vipi mbele ya wenzao. Kwa mfano hivi jadden na willow smith leo wakadownload movie ya mama yao (jada pinkett) ya Jason lyric wakiangalia wanapata picha gani? Eeeh mwenyezi Mungu, niepushe na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu kasema humu atii; Msihukumu!! Nkashangaa!! Kuamua kuvua nguo, halafu upakwe mafuta uwe ka andazi lile laitwa kalimati, halafu uitawanye mitandaoni mwote. Watu wote wanakuona, babako, mamako, dadako, kakako, mjombako etc wauone uchi wako ulivyo tukiuambia wewe ni laana useme ati tumekuhukumu?? Labda miye sijui chanzom cha laana. Hao wakifa, hata shetwani atawakataa. Mtoto wa kiume ulowekwe kwa mafuta na kuanikwa uchi wa ngedere useme ati ni usanii hapana nadhani ni manii hayo. Laa khum!!
 
Jombaa hiyo sio sketi, hiyo inaitwa KILT. Ni Traditional Wear ya Highlanders huko Scotland na inavaliwa na wanaume.

View attachment 577345

View attachment 577346
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Nitakujibu hapa hapa.

1/Utamaduni wa kuvaa vazi la kiscotland huko scotland uko hivi....
-Lazima uvae vazi juu kufunika kifua, tumbo, mgongo na mabega (Shati, Fulana au Koti)
-Lazima uvae soski ndefu na nzito miguuni kiasi cha kukaribia magoti.
-Lazima uvae viatu miguuni(Boot)

2/Ni vazi la heshima huko scotland kwa wascotland tu.(Huwazi kuvaa hivyo nje ya Scotland, na kama wewe sio mscotland na watu wakakuelewa)

3/Ni vazi linalovaliwa katika mazingira ya kuonyesha Ushujaa, Ufahari na Majivuno.
Sio vazi la kutangazia ufuska. Tunaposema vazi tunamaanisha kitu kizima(sio hicho kisketi tu)

Sasa jiulize kama hicho Kisketi alichovaa Young Dee kwenye Picha kama kinakidhi hayo mambo?
 
Mbona mnamambo ya ajabu. Hivinukishapakwa hayo mafuta tuu ww ni malaya au shoga?
 
Ww umewahi kupigapicha kama hiyo ukaweka mtandaoni?
Sijazungumzia picha nimesema mafuta. Sijawahi kupiga wala kupaka mafuta hayo ila naona labda ndo fashion mpya ya photo shoot ili ipendeze ila sidhani kama mafuta hayo ni ishara ya ushoga.
 
mwili wa amba lulu una rangi mbili fanta orange na cococala mkono mmoja noma
 
Sijazungumzia picha nimesema mafuta. Sijawahi kupiga wala kupaka mafuta hayo ila naona labda ndo fashion mpya ya photo shoot ili ipendeze ila sidhani kama mafuta hayo ni ishara ya ushoga.

Ukikita mpenzi wako kapaka mafuta hivyo kapiga picha ni fresh tu?!
 
Alafu kama dizaini flan wamepakwa mafuta hivi
 
Back
Top Bottom