Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Usimuhukumu mtu kabla hajafa Ndio maana kuna toba, unaijua kesho ya Amber lulu na young d? wewe umeshatubu dhambi Zako. Pambana na Hali yako kwanza.
Kwa ufikiri wa mkuu Kunduva sidhani kama mahakana zingekuwepo maana watekelezaji (hakimu) wangeogopa kuiweka sawa jamii kwa kutumia sheria kisa wasihukumiwe!
Haya maneno ndio tunatumia kuharibu kizazi chetu walahi.

Maadili yataendelea kuporoka hivi hivi eti kwa kuwa tusihukumu watu..

Yaani mwanamke anapost picha yuko uchi wa mnayama kashikwa makalia afu bado mnatetea upuuzi..

Acheni akili za ujuha.

brain is the beautiful part of the body.
 
Usimuhukumu mtu kabla hajafa Ndio maana kuna toba, unaijua kesho ya Amber lulu na young d? wewe umeshatubu dhambi Zako. Pambana na Hali yako kwanza.
Ndio maana na wewe umeonesha uchi kwenye avatar yako
 
Kwa ufikiri wa mkuu Kunduva sidhani kama mahakana zingekuwepo maana watekelezaji (hakimu) wangeogopa kuiweka sawa jamii kwa kutumia sheria kisa wasihukumiwe!

brain is the beautiful part of the body.
Mahakama na Mungu ni vitu tofaut. Soma kichwa cha habar cha mtoa Mada.
 
Huyo umber LULU yuko nyuma ya nondo
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji448] [emoji447] [emoji449] [emoji443] [emoji444] [emoji446] [emoji444] usikubali Mwanao aingie katika fani hii.....ni nadra kumuacha mtu salama...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom