Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

wazazi wapo vijijini wanasema mtoto wangu yupo mjini anatafutwa....... Huyo young d ana hela gani ya maana???

Mchizi si ndiyo huyu huyu anagongea misosi geto kwa washkaji zake hadi sasa wamesha mchoka
 
Wao wamevua tu nguo hadharani wewe na sisi tumefanya kabisa gizani. Kisa hatujaonekana?
Biblia yenyewe ina contradiction kibao ' Adam na hawa' walikuwa na nguo edeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa hiyo sio sketi, hiyo inaitwa KILT. Ni Traditional Wear ya Highlanders huko Scotland na inavaliwa na wanaume.

View attachment 577345

View attachment 577346
Ha..ha..ha...Jombaa, sketi ni sketi tu.
Au ukiivaa Scotland inabadilika kuwa pajama ?
Wascotish wanaume wanavaa hiyo sketi inayoitwa KLT.
KLT ni mtindo tu wa Sketi za huko Uscoti.
Hiyo sio Suluari wala sio Kaptula.
Msanii anaweza kuivaa katika kazi yake ya Sanaa na kama ameinogesha Sanaa yake kwa hilo vazi basi ndio mafanikio yake.
Hiyo ndiyo Sanaa.
 
Wapuuzi tu hao, kuna wazazi wanazaa laana kwa kweeeli.... Hiyo siku mimba zao zilitungwa bora wazazi wao wangeenda kulima wavune mahindi
Mimba inavotesa huo uchungu ndo balaa unaumwa mpaka unataka kuwa chizi jaman.

Tuombe siku zote Mwenyezi Mungu atujalie watoto walio wema

Tuwaombee tu Mwenyezi Mungu awajalie uelewa waone wanakosea wajirekebishe maana unakuta hapo yeye anajionea sawa tu hizo picha hajaanza kupiga leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye picha ikionesha hiyo sketi ani pm maana hapa haionekani vizuri.
Naskia young kaenda kuchukua RB juu ya wale walio isambaza picha mitandaoni.
 
Mungu ni mwenyeupendo ,wivu,hasira,kusamehe.

Hizo ni sifa zake kwaiyo wategemee lolote linaweza kutokea kutokana na atavyokuwa ameamka siku ya hukumu.
 
Tatizo wazazi wanasahau kuwaombea watoto wao, hivi kweeeli mtoto anafikia hatua kama hiyo????
 
kila mtu ana malipo yake mbele za mungu sihukumu hapa
 
Usimuhukumu mtu kabla hajafa Ndio maana kuna toba, unaijua kesho ya Amber lulu na young d? wewe umeshatubu dhambi Zako. Pambana na Hali yako kwanza.
Pamoja na usimhukumu mtu,jeingekuwa ni watoto wako,ndugu,mdogo wako ungesapot kitu km hicho?

Je unaposema tusihukumu ww unaweza kufanya kitu km hicho?
Hebu jaribu kupiga angalau picha uchi kisha ulete hapa km kweli kabis roho yako haotakusuta,UKASUTUKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiiyo msikitini watu wanavaa madela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…