yote sawa tofauti mishono t!Nitafanyaje ukishupaa kuwa kanzu dera ni sawa?
Duh kazi unayo ila shukurubhta iyo E maana kuna mahalipengine hakuna hta mnaraNatamani nipande juu ya mti nitafute network maana hii E hainiachi salama katika kufungua picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hujibiwa kwa hoja.Jombaa hiyo sio sketi, hiyo inaitwa KILT. Ni Traditional Wear ya Highlanders huko Scotland na inavaliwa na wanaume.
View attachment 577345
View attachment 577346
Mafuta ya chorokohivi hayo mafuta ya hivyo yanaitwaje nayahitaji
Ww umewahi kupigapicha kama hiyo ukaweka mtandaoni?Mbona mnamambo ya ajabu. Hivinukishapakwa hayo mafuta tuu ww ni malaya au shoga?
Sijazungumzia picha nimesema mafuta. Sijawahi kupiga wala kupaka mafuta hayo ila naona labda ndo fashion mpya ya photo shoot ili ipendeze ila sidhani kama mafuta hayo ni ishara ya ushoga.Ww umewahi kupigapicha kama hiyo ukaweka mtandaoni?
Sijazungumzia picha nimesema mafuta. Sijawahi kupiga wala kupaka mafuta hayo ila naona labda ndo fashion mpya ya photo shoot ili ipendeze ila sidhani kama mafuta hayo ni ishara ya ushoga.