Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Kwani Mungu anauliza maswali kwa kuangalia picha zako?!Habari wanaJF, Ama kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonyeshe hata sehemu zako za siri nje nje..... Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa
mi sijui.
View attachment 577369
Sent using Jamii Forums mobile app
atashangaa anawakuta mbinguni.Usimuhukumu mtu kabla hajafa Ndio maana kuna toba, unaijua kesho ya Amber lulu na young d? wewe umeshatubu dhambi Zako. Pambana na Hali yako kwanza.
Ni ujinga tu, yaani wanatudhalilisha kweli,Habari wanaJF, Ama kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonyeshe hata sehemu zako za siri nje nje..... Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa
mi sijui.
View attachment 577369
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kauli mbaya sana hii......wazazi wanazaa laana, wewe ni nani kusema hivyo? Usihukumu binadamu mwenzio.Wapuuzi tu hao, kuna wazazi wanazaa laana kwa kweeeli.... Hiyo siku mimba zao zilitungwa bora wazazi wao wangeenda kulima wavune mahindi
SawaHii ni kauli mbaya sana hii......wazazi wanazaa laana, wewe ni nani kusema hivyo? Usihukumu binadamu mwenzio.
Siku zote hoja hujibiwa kwa hoja,asiye na hoja hupaniki,hudhihaki na hata kutukana.Haya hongera zako wewe mwenye akili kubwa kama chembe ya haradali!!
Hebu jaribu ky mkuuhivi hayo mafuta ya hivyo yanaitwaje nayahitaji
Akatafute nini hukoUkikita mpenzi wako kapaka mafuta hivyo kapiga picha ni fresh tu?!
Akatafute nini huko
Haya maneno ndio tunatumia kuharibu kizazi chetu walahi.Usimuhukumu mtu kabla hajafa Ndio maana kuna toba, unaijua kesho ya Amber lulu na young d? wewe umeshatubu dhambi Zako. Pambana na Hali yako kwanza.
hivi hayo mafuta ya hivyo yanaitwaje nayahitaji
TCRA kazi yao wasikie wimbo unagusa MUNGU wao wa chatle.hivi TCRA wako wapi siku hizi huyu binti anatafuta umaarufu kwa nguvu amesahau kama kuvua nguo hakukuongezei umaarufu utaishia kuchezewa na vibenbten