mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
- Thread starter
- #81
Pia ni showbiz......mtu anaanzisha scandal ku raise awareness kwakua anataka ku launch album!........Hahahahah mkuu wote Kanye Vs Amber ni wahuni hakuna mwenye aibu hapo khaaaa
Mie nahisi huwa kuna ma Brain tanker wanatoaga options kwamba mtu atoke vipi.....as a marketing strategy tool.....
From nowhere Kanye aliye jitamba kwamba kuoa kwake na kuwa baba kumemfanya awe na mtazamo mpya kama mwanafamilia ...then tweets za matusi na dharau gafla.....Hii imekaa ki marketing zaidi kwa upande mwingine.