Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Hii ajali ilikuwa ya namna gani mbona kama alivamiwa na nyuki au aligongwa na treni? [emoji848]
 
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Weka namba zake za account tumchangie. Kama huna uwezo wa kumchangia, kwanini umdhalilishe?

Acha roho ya kishetani
 
Yani unatetea wafirwaji waziwazi?
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, post inasema huyo dada kapata ajari, anaomba achangiwe matibabu,
Hayo ya kutetea yamekujaje? Kunasehemu wametaka pesa ya kununua vilainishi au vipeperushi vya huo mchezo?

Wewe ni kilaza wa jf
 
Back
Top Bottom