Kumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]sasaa yule kijana James ngoja akakutane na wajuba ngomeni
Mkuu kama ni hivyo vipi wanaotaka kujitoa uhai, waaachwe wajitoe maana ni uhai wao wenyewe?Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Chama Cha mboga mboga kitawatoa [emoji2][emoji2][emoji1787]Wamewakomesha hao wahaini, na sura yake Mbaya Iile lidemu lilikuwa linasurvivor tu.
Ngoja tuone Ni chama gani kitawasaidia, Ila nahisi hichi chenye macerebriti wengi ndo nawasiwasi nacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa kuwa mtu Hana mipaka juu ya tabia....Basi ndio ajirekodi na asambaze kwa WATU ambao Wana mipaka ya tabia?!!!Ni kweli Hakimu ametumia ubinadamu kwa hukumu hiyo,ni ndogo sana kutokana na kosa lenyewe.siyo tuu kufanya kinyume na maumbile,ila kinachoo udhi zadii ni kutafuta soko kuipromoti hadharani hiyo business. Nadhani wangewaongezea na kazi ngumu
Sijui itaenda sambamba na ya huyu wa GraceKWhy kipindi cha uchaguzi ndo hukumu itoke??
Mwijaku anahukumiwa lini??
Wapi nimesema nilikuwa natenda? Shwain wewe
Pancha, [emoji1][emoji1][emoji1]Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.
Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.
Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.
Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.
Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Sijui ni kitu gani kinawaunganisha mchungaji mashimo na Amber RuttyNamwona pastor na kola yake ya ukosi hapo[emoji1787][emoji1787]
Mchungaji ana lake Jambo [emoji2]Sijui ni kitu gani kinawaunganisha mchungaji mashimo na Amber Rutty
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uone kuna sheria zingine zinachekesha yaani mtu alitaka kujiua kwa magumu yake anayopitia, amenusurika badala ya kumsaidia unaenda kumfunga jela, ndio atajifunza au unamuongezea stress za kufa.Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.
Vitu vingine kujifanya civilized sana hatimae vizazi vyetu vinaharibika hivi hivi. Kuna kuwa na kizazi kilicho na watu wasio eleweka ni wao ni wanaume au wanawake.
Nature haina hiyo kitu hata wanyama porini tuu hawafanyi huo upumbavu ni haki yao kabisa kupewa hukumu kwa kwenda kinyume na NATURE.
Kama kosa la kusambaza hata Gwajima naye alisambaza
Hapo unakua unamzungumzia mtoto wa umri gani?unaweza kumueleza haya mambo mtoto wako au unabwabwaja tuu hapa.
Kama unahisi huna chochote unachoweza kukubaliana na watu usiwe unawaquote. Ni utaratibu rahisi sana.Sihitaji ukubaliane na mimi kwenye jambo lolote. Wala sijakuomba.
Ni wewe tu na kiherehere chako cha kujipendekeza.
Halafu mimi nilishavuka hivyo viwango vya midahalo dhaifu toka zamani sana. Viwango vyangu mimi ni KUKUJAZA MAARIFA tu.
Ukiamua kuendelea kuwa mjinga, unaruhusiwa.
Ni haki yako ya kikatiba kuamua kuwa mjinga na ninaiheshimu.
Awww! Ameeen [emoji179]Wala sitarajii vote..time will tell hata kama itachukua 50 years na sisi hatutakuwepo. haya mambo yatakuwa wazi na uhuru watapewa bila kipingamizi.